Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

Mie naona sawa, ila tu kaamua kuiweka katka njia tofaut..hyo laki moja ni sawa tu na mchango, ila yeye kaipa jina la kiingilio. Ukijarbu kuviringanisha vinaringana kwa kiasi kikubwa.
 
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.

Harusi is a blessing and there is a way of doing things of blessings! I won't do that.
 
Back
Top Bottom