BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Mirere aminaTumsifu Yesu kristu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mirere aminaTumsifu Yesu kristu
Umekosea ni Kristo hakuna kristuTumsifu Yesu kristu
Huyu si mtumishi wa dini?Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Mmmh nahisi kama vile we Dativa vile any way ubarikiwetehetehe................nani mpare mpunga ni wamakonde bhaa
TRA hawazami hapa!!!?100,000 × 1000 =100,000,000 noma sana
Kama sijakosea, basi ni KeshoHarusi lini?
Ngoja nijiandaeKama sijakosea, basi ni Kesho
Teh wewe sio muendaji wala mchangaji, ungeshajua tareheNgoja nijiandae
TRA wakachukue Kodi maake si kwa kiingilio ichoHili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Aah navamia tu bhana nikaambulie angalau kapajaTeh wewe sio muendaji wala mchangaji, ungeshajua tarehe
i love em baldness.........Ngoja na mimi nijilipue naweza kuopoa binti mbichi kabisa.......![]()
i love em baldness.........
Naona umeamua kunifata na huku sasaacha hz man
Nimekunyamazia kwakua sipendi kupoteza nguvu zangu bure kubishana nawe kwa jambo jepesi.tah tah tah