hiyo ni harusi au show,hongera lkn...Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Watu nao wataanza kuigaHili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
sio mbaya. kwakua harusi nyingi huwaacha watu weupe mifukoni afu migogoro inatokea punnde tu makisha wekana ndani ni bora ukajipoza na hizo shekeliWatu nao wataanza kuiga
Yes n mchango but atleast mchango wako unatoa mwenyewe bila kushurutishwa...sio baadae ooh ulininyima kadii....Basically ni mchango.
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Si ni mlokole unategemea nn zaidi sa sparleta [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa wingiDuh, utazimia ukiingia ukumbini unakuta hakuna hata kinywaji, utajihisi upo kwenye ze comedy
Unashangaa Nini, Watu Wamechangiana Hadi 400ml100,000 × 1000 =100,000,000 noma sana
Well, for a man of his stature it could be a right thing but kwa mtu wa kawaida Lazima ijambe.Yes n mchango but atleast mchango wako unatoa mwenyewe bila kushurutishwa...sio baadae ooh ulininyima kadii....