Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

Muda si mrefu Uganda itakuwa inatawaliwa na familia ya mseveni na marafiki zake

1. Museveni raisi tangu 1986
2. Janeth museven waziri
3. Lt. Gen. Muhozi kainerugaba ni kamanda kamandi ya nchi kavu ( land force commander)

Una tegemea Nini?
 
Aolewe tu mie vimbaumbau hamna
🤣🤣unasubiri waliojazia neema za ajjah sheikh "...ati sijui miss songea! ...wataka mizigo miziti mizito ile sheikh"😂🤣
 
Muda si mrefu Uganda itakuwa inatawaliwa na familia ya mseveni na marafiki zake

1. Museveni raisi tangu 1986
2. Janeth museven waziri
3. Lt. Gen. Muhozi kainerugaba ni kamanda kamandi ya nchi kavu ( land force commander)

Una tegemea Nini?
Nchi inatawaliwa na ndugu watupu
 
Km Tanzania
Muda si mrefu Uganda itakuwa inatawaliwa na familia ya mseveni na marafiki zake

1. Museveni raisi tangu 1986
2. Janeth museven waziri
3. Lt. Gen. Muhozi kainerugaba ni kamanda kamandi ya nchi kavu ( land force commander)

Una tegemea Nini?
 
kumbe Yoweri Museveni brother wake anaitwa Salim Saleh! oooooorait.
 
Huyo ni mdogo wake na ndie Wakala wa uporaji na Msafirishaji mkuu wa mazao ya misitu ya Congo miaka na miaka

Hilo jina alilitumia kuficha identity yake na mahusiano yake na Yoweri wakati wa Mapambano
kumbe Yoweri Museveni brother wake anaitwa Salim Saleh! oooooorait.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…