Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani familia ya Ally nimeipenda sana. Mama mstaarabu.Sana sana nimempenda Ally na ustaarabu wao kwa ujumla!
Acha tu kwa hili wametuweza kingine nilichopenda uhalisia wa hii sherehe!!!hawana za kuiga iga wazunguu!!wako original kabisaa no mbwembwe...Yaani familia ya Ally nimeipenda sana. Mama mstaarabu.
Nimefurahi sana pia biharusi kujulikana siku ya harusi.. Yaani hapo upya wa biharusi unaonekana. Halafu alivyoingia ukumbini kwa pozi la taratibu bila manjonjo. Kiba kapata malkia, si mwali kigego
nimekuelewa ni mwanamke wa aina gani kupitia aviatar yakoAcha tu kwa hili wametuweza kingine nilichopenda uhalisia wa hii sherehe!!!hawana za kuiga iga wazunguu!!wako original kabisaa no mbwembwe...
Mdada kapoa haswaa mpk raha!tujifunzeni jamanii
Nidadavue kidogoonimekuelewa ni mwanamke wa aina gani kupitia aviatar yako
Watangazaji wengine hovyoo kweli,kutafuta watu wapatie visababu waongeeIla mtangazaji wa Azam alinikera alipomuuliza Seven kama zile tetesi alikuwa anatoka na Kiba, ni kweli. Nikawaza mbona anataka kuwaharibia wenzie siku. Siku ya Amina na Ally, watu wengine wanaingiaje tena? Kashindwa kujua kwamba role ya azam kwenye hiyo event siyo udaku.
Yaani kama ni shughuli yako unaweza ukamtukana. Why kuleta mambo ya past siku ya harusi. Anataka watu wakagombane honeymoonWatangazaji wengine hovyoo kweli,kutafuta watu wapatie visababu waongee
Nasubiria tarehe 29 DSMYaani kama ni shughuli yako unaweza ukamtukana. Why kuleta mambo ya past siku ya harusi. Anataka watu wakagombane honeymoon