Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

Sana sana nimempenda Ally na ustaarabu wao kwa ujumla!
Yaani familia ya Ally nimeipenda sana. Mama mstaarabu.
Nimefurahi sana pia biharusi kujulikana siku ya harusi.. Yaani hapo upya wa biharusi unaonekana. Halafu alivyoingia ukumbini kwa pozi la taratibu bila manjonjo. Kiba kapata malkia, si mwali kigego
 
Acha tu kwa hili wametuweza kingine nilichopenda uhalisia wa hii sherehe!!!hawana za kuiga iga wazunguu!!wako original kabisaa no mbwembwe...

Mdada kapoa haswaa mpk raha!tujifunzeni jamanii
 
Acha tu kwa hili wametuweza kingine nilichopenda uhalisia wa hii sherehe!!!hawana za kuiga iga wazunguu!!wako original kabisaa no mbwembwe...

Mdada kapoa haswaa mpk raha!tujifunzeni jamanii
nimekuelewa ni mwanamke wa aina gani kupitia aviatar yako
 
Ila mtangazaji wa Azam alinikera alipomuuliza Seven kama zile tetesi alikuwa anatoka na Kiba, ni kweli. Nikawaza mbona anataka kuwaharibia wenzie siku. Siku ya Amina na Ally, watu wengine wanaingiaje tena? Kashindwa kujua kwamba role ya azam kwenye hiyo event siyo udaku.
 
Watangazaji wengine hovyoo kweli,kutafuta watu wapatie visababu waongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…