Watakaohesabiwa ni wale watakaolala KWENYE KAYA usiku wa kuamkia 26/08/12
Hapana mkubwa,Vikao vya harusi huwa vinafanyikia wapi mkuu? ni Ngiwaranecha au?
Hata sasa bado ni siri Preta... Kwani tayari ushawaona hao kina mtu chake na amyner hapa?
Amefanya kazi ya Mtoboa siri!
Hongera for your coming wedding!