Huna option, mpende tu mwaya!...kwanza kila siku mko njia moja mnapoenda.......halafu wewe.....kila ukiwa na Vaselisa unabutua sana.....mwanamke simpendi yule....toka anikwarue na makucha yake....sitaki hata kumuona.....namchukia kama nini.....
Hii harusi inakwenda kiushikaji, hata kadi ya mwaliko hakuna?. Lazima tuizamie tu, kadi/bila kadi tutazuka tu!.
Kumbe kuna ndoa ?
Huna option, mpende tu mwaya!...kwanza kila siku mko njia moja mnapoenda.......
Halafu sijui kwanini anakupendaga vile huyu mke wangu!...amenambia nimpe namba yako anataka kukupigia.
whattttttt!!
wedding.....
Hahahaaaa PakaJimmy umeniharibia aisee lolWadau,
Napenda kuwajulisha kuwa harusi ya Preta na Erickb52 iliyokuwa ifanyike tarehe 25 kuamkia 26/08/2012 imeahirishwa hadi siku isiyojulikana, kutokana na sababu kuwa baada ya harusi tulipanga walale Honeymoon gesti inayoitwa Arusha-Raha...na hivyo zoezi la sensa lingewapita kushoto!
Wamekataa katakata na kusema bora waahirishe arusi kuliko kukosa sensa.
Wapeni ushauri zaidi!
Chanzo: Mimi ni mwanakamati!
Heheheheeee unacheza na Preta ?
...duh...hii kali...na si amini ..hapa nawekewa drip ya tatu...
Hahahaaa Bishanga acha kunichafua aisee mi ni mstaarabu sana sio kama weweAmyner keshatupwa kurrrrrrreeeeeeeeeeeeee!!!!! Huyo ndo erick bana zee la mazabe,asipofumaniwa hasikii raha ya kungononeka.