Harusi ya Preta Yasogezwa Mbele...!

asante mkuu....karibu uje kula ubweche.....
hongera kwa ErickB52 umepata, naomba na mimi nikaribie napenda sana ule ubweche wa viungo, naomba namba yako nikutumie mchango kwenye Mpesa au 0713pesa
 
..haya bana ..nisha poa..ila nimeamini kikulacho kiko miongoni mwako..dah...Rafiki yangu kumbe ndio mwizi wangu...?
kweli kabisa katika hali ya kawaida. Erickb52 unaoa shem wako Preta ..?..na mnadiriki kunialika kwenye kikao na kadi ya mchango mnanipa..?...
 
Last edited by a moderator:

na zawadi nataka hii........


 
Ngoja niandae mapingamizi ya kufa mtu. Tena lazima mtu akalale central alaaah.
Nakuja ngoja nijipange.
 
sasa roho mbaya hii yote inatoka wapi bebii.....kwani si naolewa tu kidogo......
...kidogo...?..vipo vya kushare ila si mapenzi..hata kama hato acha alama/sahihi huko mgodini....mie basi .."NANG"ATUKA"..rasmi
 
Aisee Maarifu msisahau kunipa kadi ya mwaliko..
 
..aisee najilaumu kweli kweli..bora tungepiga wote tu..

wenzako tuliliona hili mapema tukajiweka pembeni mapeeema.. Mimi nilikuwa nakuchora tu na vikelele vyako eti nakuibia mkeo. Ona sasa!!
 

Sasa nimeelewa ulimaanisha nini kwa hii kauli: "Ukitaka Jiji la Kuishi Njoo Arusha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…