Harusi ya Preta Yasogezwa Mbele...!

ukweli wa mambo ni huu...
Ni mimi nileyekwamisha kikao cha kamati ili nikamilishe mikakati yangu ya kuwa mme wa pili.PJ akipenda ataweka yote hadharani!sensa ni kisingizio tu!
Mpango wangu ukikamilika vikao vitarajea kama kawaida.
Ni mpango kabambe na simuoni wa kuzuia.
 
hakuna ndoa hapo erick52 alivyobadilika namshauri mwanamke mwenzangu Preta ajivue gamba mapemaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Presha imenipanda. Sikulijua hili PakaJimmy Asante kwa taarifa.
Kweli dunia hadaaa.
 
Presha imenipanda. Sikulijua hili PakaJimmy Asante kwa taarifa.
Kweli dunia hadaaa.

hapa naona pingamizi la ndoa linanukia.........kumbe PakaJimmy umerusha jiwe gizani eeeh.....
 
Last edited by a moderator:
...duh...hii kali...na si amini ..hapa nawekewa drip ya tatu...
Wewe kufa mpungue maana hapa hata sielewi!!naanza kuamini kunguru yawezekani afugiki!!au ndo mambo yakumkuta kobe juu yamti ujue kapandishwa??
 
Nasema hapa nipo kwa paroko na weka pingamizi........hii harusi nakuambia Preta aitafanyika naikifanyika hatakupata ukiwa hai!!mpeni salamu huyo PakaJimmy [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=29658"]Erickb52[/URL] mtu chake TANMO
 
Nimeskitikaje? Li'thrade tamu kama hili nalikutia upenuni ?
Yote kwa yote naunga mkono hoja!
52 lamba mzigo! Hii kifaa imeenda shule!
Watie ndimu rivals wako ujibinafsishe hii makitu!
Bt Note : make himself dialogue kwako atatulia ? Because at forthcomin' dayz on my site i view plenty of mediations session! So far b care !
 
Erickb52 kweli wewe ni B52 hukukosea kujipa Hilo Jina.
 
Wenyewe hatuna hamu na tukio hili...Wametuacha hoi!
Juzijuzi Eric alimhakikishia Remmy kuwa atafunga naye pingu za maisha, sielewi msichana huyu wa Kimasai Preta kamlisha nini Eric!...huenda ndio kampa kitu inaitwa loshoroo!

Naona bora nikimbieee..
Vipi kwako kuna nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…