Harusi ya Sugu yatikisa Mbeya Mjini , Shughuli zasimama maduka yafungwa

Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽


Mungu amtangulie kwenye safar yake.

Ikumbukwe imeandikwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe Safi"

Pia ikaandikwa "alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"
 
Sasa na wewe mbona umeganda hapa JF? Nenda huko kapige picha utuletee sisi tulioko mbali na tukio.
Ningestaajabu sana kama nungayembe usingeonekana kwenye huu uzi. Mwanamke mwenzio kaonekana. Unawashwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatawala nchi yote including Mbeya. Be careful kijana nchi haiwezi kuwa na marais wawili.
Kuna marais wengi tu kama wa Manzese,wa TFF nk. Hivyo wana Mbeya kumuita rais wao though unofficial,just let it be. Wanamutita hivyo na ndiyo furaha yao basi usione kijicho na usiwe na husda.
 
Hvi sugu ana miaka mingap, alaf ukute mtu ana miaka 27 uhakika wa kula Hana na anatamani aoe bint mkali duuh

Kwenye interviews alizokua anafanya miaka hiyo ya 1994 na 1995 alikua anaema ana miaka 25..
. You can now calculate his age!!.. very simple mathematics... yeah huyu ni babu yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…