Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Hizi harusi bana kuna Ndugu yetu Hussein ambaye baba yake alikuwa waziri na Balozi ktk nchi mbalimbali mzee Mustapha Nyang'ang'anyi alimuoa Dr.Asha Omari Mahita ambaye nae baba yake alikua mkuu wa jeshi la posili(wote hao wazaz wao bado walikuwa serikalini. Aisee hii harusi nayo iligharimu kama Mil.50 lakini mwisho wa siku walikaa 2yrs wakapigana chini na ukiangalia zile harusi za kawaida ndio hudumu na mapenzi tele.
 
Huwa wanaoana kwa majina ya familia zao kuliko dhamira na mapenzi!!!!!!!!!!!
Halafu wanakuja kuta cheo cha mzazi wake hakina cha kufanya na maisha yenu ya ndani...........!!!!!!!
Wazazi wakishastaafu na ndoa inayoyoma!!!!
 
Bibi anaolewa....?? Safi sana Bibi Ondoa nuksi hiyo mwilini mwako....watu waliamini ustaa wako pia wazifa ulionao ni ngumu kuolewa,japo hata Mimi Mjukuu wako niliamini hivyo,Hongera sana Bibi.....!!
 
Washamba tu ndoa ndoa hata wakifungia angani kinachomata hapo furaha na upendo ndani ya ndoa kama hivyo havipo ni kazi bure na pesa sio kila kitu
 
Reactions: Sal
Bibi anaolewa....?? Safi sana Bibi Ondoa nuksi hiyo mwilini mwako....watu waliamini ustaa wako pia wazifa ulionao ni ngumu kuolewa,japo hata Mimi Mjukuu wako niliamini hivyo,Hongera sana Bibi.....!!

Teh teh teh

Hapo unaweza kukuta bibi harusi kajitolea mwenyewe mahari!!

Chezea 'kuondoa nuksi weye'!!

"Haijalishi umeingia kupitia mlango gani,hata kama ulipitia dirishani,what matters umo ndani"
 
Tujikumbushe usemi wa "Kila Mbuzi anakula kutokana na Urefu wa Kamba yake".
 
Shida zenu aziwahusu watu wengine! Ingekuwa hivyo hata ulaya matajiri wasingeishi kisa kuofia dhiki za watu wengine....
 
Huwa wanaoana kwa majina ya familia zao kuliko dhamira na mapenzi!!!!!!!!!!!
Halafu wanakuja kuta cheo cha mzazi wake hakina cha kufanya na maisha yenu ya ndani...........!!!!!!!
Wazazi wakishastaafu na ndoa inayoyoma!!!!

Kweli kabisa mkuu yaani ni shida na kisanga.
 
Huyu dada kuna uchafu anadhani ataufunika kwa kufanya promo ya harusi hayawatazamaji tupo na akipigwa buti aje na promo trna
 
wat! Kaela kadogo hako?
Aha aha aha duh maza fanta
 
Duuuh na garama zote hizo jamaa kaamua kuhalalisha mchepuko wa mukulo....Baba Riz eti umekubali au utakuwa unamega kisela? Ila siku hizi wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani...!
 
Shida zenu aziwahusu watu wengine! Ingekuwa hivyo hata ulaya matajiri wasingeishi kisa kuofia dhiki za watu wengine....

Kumbuka tunayemjadili hapa ni kiongozi wa watu walio ktk maisha ya kipato cha chini ya dola 1 kwa siku.
Je yeye kama kiongozi ameridhika watu wale na kunywa mamilion ya pesa kwa siku 1? Huku kuna kata hazina hata zahanati.
 
ina maana hamna PINGAMIZI toka PANDE zote:israel:? basi twawatakia kila la kheri....:wave:
 
Ndugu Shangazi asante kwa kuibuka,vipi na kale kataarifa kuwa yule mtoto wa kiume wa Vicky ambae kafanana na Fast Jet Baba yake ni Mzee wa Jamhuri??!!
 
ni kwel mdau nakumbuka hii harusi,na Mwantumu Mahiza ndo alikuwa chui somo wa bi haruc ,ikapraganyika bwana haruc eti anadai "kwanza tumekutana kupitia mtandaoni" enzi hzo majangaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…