lovely love
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 337
- 296
Kila la kheri kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi harusi bana kuna Ndugu yetu Hussein ambaye baba yake alikuwa waziri na Balozi ktk nchi mbalimbali mzee Mustapha Nyang'ang'anyi alimuoa Dr.Asha Omari Mahita ambaye nae baba yake alikua mkuu wa jeshi la posili(wote hao wazaz wao bado walikuwa serikalini. Aisee hii harusi nayo iligharimu kama Mil.50 lakini mwisho wa siku walikaa 2yrs wakapigana chini na ukiangalia zile harusi za kawaida ndio hudumu na mapenzi tele.
watoto ni mpango wa mungu my d!
Bibi anaolewa....?? Safi sana Bibi Ondoa nuksi hiyo mwilini mwako....watu waliamini ustaa wako pia wazifa ulionao ni ngumu kuolewa,japo hata Mimi Mjukuu wako niliamini hivyo,Hongera sana Bibi.....!!
Ndio Tanzania ya Leo hakuna atakaehoji uhalali wa wapi yametoka hayo mamilion.
Nyuma yake kuna
1.Yatima wanateseka
2.Huduma duni za afya
3.Nyumba za walimu
4.Madawati hakuna
Any way kupanga ni kuchagua,muheshimiwa ameamua kutuonyesha ufahari wake walala hoi wa nchi hii.
Huwa wanaoana kwa majina ya familia zao kuliko dhamira na mapenzi!!!!!!!!!!!
Halafu wanakuja kuta cheo cha mzazi wake hakina cha kufanya na maisha yenu ya ndani...........!!!!!!!
Wazazi wakishastaafu na ndoa inayoyoma!!!!
Mimi mwanandugu, VK ni kama mwanangu( shangazi yake VK). Ni mambo ya kawaida sana kwetu, hata watotoyatima, wajane, madawati huwa tunatoa- ila tu wandishi wa habari hawapendikuandika mazuri.
Kweli kupanga nikuchagua na wengine huchagua kufungia ndoa Manzese hotel, huo ndo uwezo wao, mwingine huishia kanisani hata soda ntoho na Mungu anawabariki pia, ndoainadumu.
Another serious note; hii siyo ya kifahari- bali ni kasherehe kadogo ya kuwapongeza vijana wetu kwa maamuzi mazuri waliofanya, ni kabudget ni around USD 75,000
Shida zenu aziwahusu watu wengine! Ingekuwa hivyo hata ulaya matajiri wasingeishi kisa kuofia dhiki za watu wengine....