Mimi mwanandugu, VKni kama mwanangu( shangazi yake VK). Ni mambo ya kawaida sana kwetu, hata watotoyatima, wajane, madawati huwa tunatoa- ila tu wandishi wa habari hawapendikuandika mazuri.
Kweli kupanganikuchagua na wengine huchagua kufungia ndoaManzese hotel, huo ndo uwezo wao, mwingine huishia kanisani hata soda ntoho na Mungu anawabariki pia, ndoainadumu.
Another serious note; hii siyo ya kifahari- bali nikasherehe kadogo ya kuwapongezavijana wetu kwa maamuzimazuri waliofanya, ni kabudgetni around USD75,000
Hongera beautiful Vicky Kamata binadamu hawana jema.....hongera sana huyo bwana Harusi kwa ku take maximum risk.....maana wanaume Wengi walikuwa wanakupenda lakini wanakuogopa kwa maneno ya mtaani....
Hongera mume mtarajiwa kwa ujasiri
Hongera Vicky kwa kupata wako mwenyewe aw halali..
final ukweli umedhihirika. ulikuwa sahihi kwa 100%Kuna gazeti limeandika hiyo harusi haitafungwa kwani bwana harusi mtarajiwa ana mwanamke ambaye ameshamlipia mahari kabaisa kwa hiyo ndugu zae wamekuja juu na kupinga hiyo harusi.
Hongera beautiful Vicky Kamata binadamu hawana jema.....hongera sana huyo bwana Harusi kwa ku take maximum risk.....maana wanaume Wengi walikuwa wanakupenda lakini wanakuogopa kwa maneno ya mtaani....
Hongera mume mtarajiwa kwa ujasiri
Hongera Vicky kwa kupata wako mwenyewe aw halali..
Huyu dada kuna uchafu anadhani ataufunika kwa kufanya promo ya harusi hayawatazamaji tupo na akipigwa buti aje na promo trna
Ulimlaani sana kiasi kwamba kapigwa kibuti hata kabla ya kufikishwa altareni! Unabii wako umetimia
hii comment hadi leo haina maana
huyo alishajiandaa kwenda kula ubwabwa.
Hata kuandika kwenyewe taabu kwelikweli!
Harusi itafunika ndoa zote za mastaa zilizowahi kufanyika bongo....huu ni upu...mbavu,harusi ni kushindanana?...
Huyu dada kuna uchafu anadhani ataufunika kwa kufanya promo ya harusi hayawatazamaji tupo na akipigwa buti aje na promo trna