faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 34
Hongera beautiful Vicky Kamata binadamu hawana jema.....hongera sana huyo bwana Harusi kwa ku take maximum risk.....maana wanaume Wengi walikuwa wanakupenda lakini wanakuogopa kwa maneno ya mtaani....
Hongera mume mtarajiwa kwa ujasiri
Hongera Vicky kwa kupata wako mwenyewe aw halali..
Hongera mume mtarajiwa kwa ujasiri
Hongera Vicky kwa kupata wako mwenyewe aw halali..