Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Kumbuka tunayemjadili hapa ni kiongozi wa watu walio ktk maisha ya kipato cha chini ya dola 1 kwa siku.
Je yeye kama kiongozi ameridhika watu wale na kunywa mamilion ya pesa kwa siku 1? Huku kuna kata hazina hata zahanati.

huyu ni mbunge wa vitu maalum, labda ni kiongozi wako, mimi big no.
 
Maskini Mpaka-way wa Amina kongoro angekuwepo Angelia sana kuona kipikio kinachukuliwa hivi huku aligharamia sana hasa kwenye mahotel ya majuu.
 
Maskini Mpaka-way wa Amina kongoro angekuwepo Angelia sana kuona kipikio kinachukuliwa hivi huku aligharamia sana hasa kwenye mahotel ya majuu.

Hahaha yani nilivyo mdaku nimejitahidi kutafsiri hiyo sentensi hadi nimeelewa, ahsante

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahahha funika kombe bhana lol

Ah me nilikua naomba mwongozo kwa mheshimiwa Shangazi kwa suala la mheshimiwa Kamata bin wanawake na Maendeleo bin fursa maana shangazi amejitokeza kujibu so asibague tuswali au kisa sio mambo ya dolari??!!!
 
Bi harusi mtarajiwa, staa wa Bongo Fleva, Mbunge Viti Maalum (CCM), Geita, Vicky Pascal Kamata.

Ukitaka udaku zaidi nenda Global. 👰 ImageUploadedByJamiiForums1400258233.001765.jpg
 
Siku hiyo lazima iwe siku ya mapumziko kwa hiyo Jk kaachia ngazii
Ina maana Vicky alikua hajaolewaaa
 
Mie hapa ningeoa Pesa kwa kuwa kashatotoa VIP mzee was Gari nyekundu mzee wa b.o.t twin tower amechanga au mkwanja kamalizia selo
 
ni kwel mdau nakumbuka hii harusi,na Mwantumu Mahiza ndo alikuwa chui somo wa bi haruc ,ikapraganyika bwana haruc eti anadai "kwanza tumekutana kupitia mtandaoni" enzi hzo majangaaaaaaaaaaaaaa

Ukumbuke na hussein sasahivi yupoyupo hajielewi hata yuko dunia gani
 
kwa hadhi aliyokuwa nayo unategemea afunge ndoa ya kalaki kamoja
 
Back
Top Bottom