Harusi ya Viol na King'asti november

Harusi ya Viol na King'asti november

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu this is a story in dream sitaki mshikwe na maswali!
Tumeanza uchumba toka 2010,wana JF special ambao walikuwa Marafiki wa wanandoa watapewa kadi,namashukuru sana sana mshenga wangu BAK
WanaJF mtusupport!
 
King'asti yule mdogo wake Kongosho....!

Hivi kumbe bado alikuwa hajaolewa, nakumbuka nilionana naye 2010 akiwa kati ya umri wa 40's.

Hongera zenu na kwa umri wala hana janja ya kuchepuka tena.
Mmmh watu wakorofi jamani
 
Back
Top Bottom