Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hapo zote chai!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] moja majani yake ya chai nyingine ya majani yake sukari ya kukaangaTatizo hapo zote chai!
Mmmh watu wakorofi jamaniKing'asti yule mdogo wake Kongosho....!
Hivi kumbe bado alikuwa hajaolewa, nakumbuka nilionana naye 2010 akiwa kati ya umri wa 40's.
Hongera zenu na kwa umri wala hana janja ya kuchepuka tena.