Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #41
Kwenye uhalisia kabisaaAnaolewa kwenye movie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye uhalisia kabisaaAnaolewa kwenye movie?
Anaolewa na yule Tapeli wa burundi PCK au Vicker?Kwenye uhalisia kabisaa
Salon.Nasikia bashite ndio best man na wako saloon sasa wanafanyiwa scrub,pedicule,manicule na the likes
PckAnaolewa na yule Tapeli wa burundi PCK au Vicker?
Sawa kama ndio huyo basi tushaelewa kama inafanyika au lah.
Hiyo ndoa nipa miezi tisa tu, ikipitisha huo muda mniambie nihame nchi
Hahaja mwajuma anaolewa
Ndo hii mkuuHivi siku tuliyoambiwa tu save the date ndo hii? Siku zinaenda kasi sana
Si mlikuwa mnasema haolewi,halafu waliosema haolewi ndo wanaomaliza kreti
Anaolewa kweli au maigizo ya bongo muvi,
Hakuna ndoa