Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama yake mzazi abdoulatif.
Aidha mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya hayo ikiwa ni siku yake ya harusi akifunga ndoa na mkewe mtarajiwa Maryam ayodeji, mtuhumiwa huyo anadai wakati sherehe inaendelea hakumwona mama yake kwa wakati ule hivyo akalazimika kutuma vijana wamwangalie alipo kwa bahati mbaya hawakumwona hivyo akalazimika kwenda mwenyewe na hatimaye alifanikiwa kuona gari katika parking na kuhusu minong'ono kwa ndani alifuatilia kwa karibu na kugundua mama yake mzazi akishiriki ngono na kijana mdogo wa rika lake NDIPO alitumia hasira kumjeruhi kijana huyo kwa kumpiga na chuma kizito kichwani Hadi kufa huku akimjeruhi mama yake kwa kumpiga sehemu mbali mbali za mwili.
Inasikitisha Sana kwa nyakati hizi hayana ladha na kuharibu jamii kupoteza maisha ya wanawadamu.
Chanzo Cha habari ni CAMEROUN UPDATES.