Harusi yageuka msiba baada ya fumanizi

Kwan mama ake ni mke wake? Huyo jamaa kazingua sanaa
Unataka ujue mama ako alipo muda wote kwani unanyonya ?
Mwanangu wa kiume hanuonyi yupo la kwanza ila anavyonifata fata hapo nyuma ni balaa
 
Mlishaambiwa anayetoka na taulo chumbani Kwa mama yako ndio baba yako. Hapo ni wivu wa mama sipati mkewe ndio angekuwa analiwa angefanyaje
 
Sie wanaume tunawapenda Mama zetu kuliko chochote duniani .jamaa kashindwa kuzibiti hasira na ni ngumu
 
Mwanangu wa kiume hanuonyi yupo la kwanza ila anavyonifata fata hapo nyuma ni balaa
Sasa mtoto wa darasa la kwanza Kuna shida Gani akikufata. Shida Hawa vijana watu wazima kudukua maisha ya mama zao ndiyo inaleta shida
 
Kwan mama ake ni mke wake? Huyo jamaa kazingua sanaa
Unataka ujue mama ako alipo muda wote kwani unanyonya ?
Huyo mama nae hana adabu. Alishindwa nini kuvumilia mpaka shughuli ya mwanae ipite.
 
Sie wanaume tunawapenda Mama zetu kuliko chochote duniani .jamaa kashindwa kuzibiti hasira na ni ngumu
Ni haramu na ni dharau kwa mama mzazi kufanya hayo Tena katika tafrija ya mwanaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…