Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolmwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji mwenye afya kutoka huku kwetu mikoani anang'ooka meno
Perhaps it depend on what kind of party/wedding you have been invited...there are some,the kitchen section is just like heaven ....you always cerebratingDar es salaam kila kitu ni ujanja ujanja, anzia magengeni tunalishwa taka taka nyingi mno, maharusini ndio kabisaa alafu kule huwa wanaweka oda kuilisha harusi nzima,
Hapo ndipo uchakachuzi hufanyika.. juzi nilikuwa kwenye sherehe kiukweli kuku na nyama tuliolishwa nilistukia yaani haina radha kabisa,
USHUHUDA
Nilitoka kwetu mikoani enzi zile nikiwa na afya njema, sasa kutokana na majukumu mengi nikawa nakula magengeni, nilikula kwa mwaka mzima,
Kilicho nikuta sitakisahau niliugua macho, miguu, masikio halafuu nilikonda balaaa,
Nilienda pale CCBRT kutibiwa macho nikapigwa dozi ya miezi mitatu wala siakupona, nikaenda sinza, mwananyamala kote sikufanikiwa kupona,
Mwishoni nilikutana na daktari mmoja kutoka pale muhimbili , huyu ndiye aliye niponyesha tatizo ilikuwa ni upungufu wa VIRUTUBISHO MWILINI alinipa dawa na ushauri .
Nilipona na namshukuru sana yule mama mungu ambariki .
USHAURI
Usipende sana kula magengeni na maharusini mara kwa mara hapa dsm.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vipi mchele wa plastiki hawajaanza bado kuwalisha nyie wapenda sherehe?
Hahahaha kuku shoga,kuku anahips kuku hawezi kutembea hata mita kumi ,kuku ana kilo mbili umri ni cku kumi unategemea nniiiiiiiiiiii?Hivi nyie mnao andaa sherehe za harusi hapa dar ,kwa nn mnapenda kutulisha kuku za siku 10 , ???
Unakula kuku laini kama samaki mchanga ,
Jifunzeni basi ,,,mbina nyie mkija huku mikoani tuna waandalia kuku wa kitanzania
Mnaboa !!!!
Kiongozi nisaidie namimi macho yananimaliza nimepita hizo hospitali Tajwa zote zijapata unafuu vip huyo Doctor alikupa matibabu yepi ndugu......[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Dar es salaam kila kitu ni ujanja ujanja, anzia magengeni tunalishwa taka taka nyingi mno, maharusini ndio kabisaa alafu kule huwa wanaweka oda kuilisha harusi nzima,
Hapo ndipo uchakachuzi hufanyika.. juzi nilikuwa kwenye sherehe kiukweli kuku na nyama tuliolishwa nilistukia yaani haina radha kabisa,
USHUHUDA
Nilitoka kwetu mikoani enzi zile nikiwa na afya njema, sasa kutokana na majukumu mengi nikawa nakula magengeni, nilikula kwa mwaka mzima,
Kilicho nikuta sitakisahau niliugua macho, miguu, masikio halafuu nilikonda balaaa,
Nilienda pale CCBRT kutibiwa macho nikapigwa dozi ya miezi mitatu wala siakupona, nikaenda sinza, mwananyamala kote sikufanikiwa kupona,
Mwishoni nilikutana na daktari mmoja kutoka pale muhimbili , huyu ndiye aliye niponyesha tatizo ilikuwa ni upungufu wa VIRUTUBISHO MWILINI alinipa dawa na ushauri .
Nilipona na namshukuru sana yule mama mungu ambariki .
USHAURI
Usipende sana kula magengeni na maharusini mara kwa mara hapa dsm.
hahaha yani jambo la kusikitisha we unacheka "culture gal "[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Njoo PMKiongozi nisaidie namimi macho yananimaliza nimepita hizo hospitali Tajwa zote zijapata unafuu vip huyo Doctor alikupa matibabu yepi ndugu......[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
It was just in a graduation of graduates, They ordered food from a verified and famous cartering service company.Perhaps it depend on what kind of party/wedding you have been invited...there are some,the kitchen section is just like heaven ....you always cerebrating
Lol, nacheka kwa uchungu, hahahahahahaha yani jambo la kusikitisha we unacheka "culture gal "
Astkaar......Hivi hujawazoea jogoo wa dar ni lege lege kama wanaume wa dar