Harusi za ughaibuni

Harusi za ughaibuni

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
82
:lalala:HUKO MAJUU WENZETU SIKU YA HARUSI LAZIMA UJUE KUJIRUSHA ,KAMA UNABAHAISHA BORA UTAFUTE MSHAMBA MWENZIO.USHAHIDI HUU HAPA:lalala:
 

Attachments

  • gal_dwts_smirnoff_macchio_1[1].jpg
    gal_dwts_smirnoff_macchio_1[1].jpg
    29.1 KB · Views: 54
  • gal_dwts_johnson_ward_2[1].jpg
    gal_dwts_johnson_ward_2[1].jpg
    38.8 KB · Views: 60
Ughaibuni na majuu ndo wapi?
au unaishi dunia ya mashetani wewe?
 
:lalala:HUKO MAJUU WENZETU SIKU YA HARUSI LAZIMA UJUE KUJIRUSHA ,KAMA UNABAHAISHA BORA UTAFUTE MSHAMBA MWENZIO.USHAHIDI HUU HAPA:lalala:


Hapo kwenye red giza tu, unamanisha nini?
 
Mimi nitaleta Mdundiko, unatosha. Umri huu nivunjike kiuno wakati ndio mtaji wangu!
 
Dancing with the star bana.. acha urongo..
 
jamani hiyo si amba jamani. Mambo ya kibrazili. Au sababu sisi watu wa Songea ndo unataka kutudanganya
 
Acha uongo, hv umefikiria nn kutudanganya
 
mhhh tango as matango au?

Gaga sio matango (cucumber)) ni style ya kucheza mziki kama ilivyo rhumba, salsa, mirengue, chacha n.k....Maria Roza anajua....karibu ujifunze na sisi kama utapenda
 
Back
Top Bottom