:::::::Harusi:::::::::

......Frankly Speaking If this is a dream, I just Wanna keep on dreaming...I Do Love You...

Akanana.. Akanana kaile kona, Kaile.. kaile nikeogola!

Waooo
Sante sana dear..

Si yangu dear namsaidia rafiki
Ambaye anapanic .. kasahau nyimbo..
Nkamwambia kuna watu watakusaidia
..... kwa hiyo atafanya selection kutoka
Hapa ...

Sante tena ..🙂

ha ha ha..... Umenikumbusha mbali....
my first wedding niliimba a Whitney Houston
Song.... Sasa when i think of it.... EMBARRASSING....lol

1.Muogo wa jang'ombe......
2.sijui jina unaibwa ...(Mungu alipo muumba adam,hakumwacha awe peke yake,akamfanyia msaidizi.....bla bla bla)
3........

Ops,nimeitwa kuchukua majibu hapa

ha ha ha..... Umenikumbusha mbali....
my first wedding niliimba a Whitney Houston
Song.... Sasa when i think of it.... EMBARRASSING....lol

Duh,pole sana Asha,...kumbe ulishatoa talaka doh

ha ha ha..... Umenikumbusha mbali....

my first wedding niliimba a Whitney Houston

Song.... Sasa when i think of it.... EMBARRASSING....lol

Aibu ya nini mamito.
Nyimbo zote za Whitney ni nzuri
Sana.. ngoja niziweke kwenye collection
sante aee..

1.Muogo wa jang'ombe......
2.sijui jina unaibwa ...(Mungu alipo muumba adam,hakumwacha awe peke yake,akamfanyia msaidizi.....bla bla bla)
3........

Ops,nimeitwa kuchukua majibu hapa

Mkuu ni wewe...!
Naona hata maudhui yako yamebadilikabadilika hivi...!

Duh,pole sana Asha,...kumbe ulishatoa talaka doh

aiseee Speaker nilikusahau..... Dah! Sijui nitoe hongera na hio Avatar....

Asante..... but it was worth it... alafu sikutoa bana.... Speaker bana.

Aibu ya nini mamito.
Nyimbo zote za Whitney ni nzuri
Sana.. ngoja niziweke kwenye collection
sante aee..

ha ha ha... yaani ile imagination pekee... iko siku nitaangalia kukumbushia i think...lol

Weka nyimbo za wasouth Afrika ,NIGER ,Country dini ,inategemea na muktadha wenyewe ,ziko matata sana

1.Muogo wa jang'ombe......

2.sijui jina unaibwa ...(Mungu alipo muumba adam,hakumwacha awe peke yake,akamfanyia msaidizi.....bla bla bla)

3........

Ops,nimeitwa kuchukua majibu hapa

Huo muogo wa chang'ombe ni ule wa
Lady JD???
Huo wa pili siujui na hiyo blah blah blah
hapo mwisho imeniacha hoi ..
Sante Speaker ...

Weka nyimbo za wasouth Afrika ,NIGER ,Country dini ,inategemea na muktadha wenyewe ,ziko matata sana
Ninazo tayari za
Brenda Fassio. Brenda Makanjani..
Naomba nipatie nyingine ..
Asante

ha ha ha... yaani ile imagination pekee... iko siku nitaangalia kukumbushia i think...lol

Staki kukucheka
sababu hilo daraja
Linanisogelea ni daraja
pekee lenye miguu..

Kubyala ng'wana ngosha kwilolela bhano kaganda kaganga
Mlemona nu nina o Nzagamba
Alibina wisunda sunda
Mlemona nu ise o Nzagamba
Aliniba wisunda sunda

NB: Y'all be on the lookout for my mixtape coming soon to a store near you!

Baba kampata mama na mama kampata baba. Huu mimi ulinikuna zaidi!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…