:::::::Harusi:::::::::

:::::::Harusi:::::::::

Kubyala ng'wana ngosha kwilolela bhano kaganda kaganga

Mlemona nu nina o Nzagamba

Alibina wisunda sunda

Mlemona nu ise o Nzagamba

Aliniba wisunda sunda

NB: Y'all be on the lookout for my mixtape coming soon to a store near you!

Only one word looks familiar ...

Sasa tafsiri yake please
Na je unaweza kutumika kwenye
Hii harusi?

AD bana.... Khaa.... Nilianza kupanga mipango tayari... lol

Nna rafiki yangu hapa ana panic
Ile mbaya kasahau ku organize nyimbo..
Ndo nka mwambia ngoja utapata msaa
kutoka hapa JF.

I cross my heart- George strait
The only one - Lionel Richie
Hello- Lionel Richie
Jojina- Marijani rajabu
naomba kualikwa-Blaki Womani

nibebe nibebeeeee......
nibembeleze nibebe....
nibembeleze nifike salama...........................

I cross my heart- George strait

The only one - Lionel Richie

Hello- Lionel Richie

Jojina- Marijani rajabu

naomba kualikwa-Blaki Womani

Asante sana
Huo wa mwisho my favorite
.... karibu sana .. 🙂

Asante sana...

Nisiwachanganye si zangu.....
Namsaidia rafiki ambaye ana panic
......... sasa

Asavali AD, ningeona wivu!! Mh...
"my love" Julio ni mzuri kwa kufungulia dance.

Kwenye harusi yangu tuliweka nyimbo za MR SUGU tu, na watu walifurahi sana.

dah! eti kwasababu unauhitaji, NIMEUSAHAU. Lkn beat yake inatumika sana ktk kuendeshea vipindi vyo chombeza time. By the way, chukua huu "U're my number one - Enrique"

Back
Top Bottom