Yani we acha tu, hangovers za jana, na mvua na kibaridi hiki naona km kinaninyevua. Apa leo tusifike saa 10 unusu baby. Kila mmoja atafute kisababu kabisa cha kusepetuka kwa ofis
uuuwiii mamito! makhaba ninyonge mie, naanza kujifanya naumwa sasa ivi hun!
Mkuu ambatanisha na picha tafadhariTumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na kuanza kupigana bila woga ni taharuki njaa zinauma na masufuria ya pilau yamemwagikiwa na dumu kubwa la maji kwenye purukushani za kuwatimua panya! Kila mtu anaongea lake!
Hiyo sehemu uswaz sana naijua vizuri mkuu Wazee wa busara wengi sana!Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na kuanza kupigana bila woga ni taharuki njaa zinauma na masufuria ya pilau yamemwagikiwa na dumu kubwa la maji kwenye purukushani za kuwatimua panya! Kila mtu anaongea lake!
Kaka upo? Much respect to you broah.....
nipo kaka mkubwa!Kaka upo? Much respect to you bro