Harusini karakata! Kituko cha mwaka

Harusini karakata! Kituko cha mwaka

Yani we acha tu, hangovers za jana, na mvua na kibaridi hiki naona km kinaninyevua. Apa leo tusifike saa 10 unusu baby. Kila mmoja atafute kisababu kabisa cha kusepetuka kwa ofis

uuuwiii mamito! makhaba ninyonge mie, naanza kujifanya naumwa sasa ivi hun!
 
Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na kuanza kupigana bila woga ni taharuki njaa zinauma na masufuria ya pilau yamemwagikiwa na dumu kubwa la maji kwenye purukushani za kuwatimua panya! Kila mtu anaongea lake!
Mkuu ambatanisha na picha tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sehemu uswaz sana naijua vizuri mkuu Wazee wa busara wengi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu sena mshana jr. Mlipogundua kuwa nguo/vyombo vya bibie mmesahau ikawaje? Mlirudia au mmeamua atavijia mwakani akiwa na mtoto?? Hofu yangu ni wale panya tu. Wasijekuwa ni wa kimazingara mkashindwa kumfikisha nyumbani bibie mkapata hasara ya pilau yenu iliyoliwa na panya
 
Back
Top Bottom