Naona una hasira nao mkuu. Poleni sana ndo watafiti wetu haoHabari wana jamvi, naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Kama Mpo wengi nadhani mkiungana mnaweza kufidiwa...ali mradi tatizo liwe kweli limeanzia kwao.Hii ni hatari, hata wakifikishiwa taarifa watafanyaje na sisi wakulima tushapata hasara kubwa
Wakafidiwa? Unaishi Tz hii hii au?Kama Mpo wengi nadhani mkiungana mnaweza kufidiwa...ali mradi tatizo liwe kweli limeanzia kwao.
Hizo sio hybreed mkuu. Ziko graded and packed tu. Mbegu hybreed inauzwa 130k kwa 2kgHabari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Kwani kikawaida ilitakiwa itoe kiasi gani?Hapo hamna cha kufidiwa ni kujipanga tu upya, kazi iendelee
Bongo nyoso...full kutukana hasara...usikute Kuna kigogo mmoja alikuwa winga katika ununuzi na uuzaji wa mbeguHabari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Ni kweli inawezekana sio mbegu kama jamaa kashavuna alizeti mwezi huu wa 5, ina maana alipanda kipindi cha mvua nyingi.Alizeti halitaki mvua nyingi,Songea Kuna mvua nyingi,mvua nyingi inasababisha mafuta yawe kidogo.Inawezekana tatizo siyo mbegu ila ni wewe mkulima.
Sio huko tuu Kilimanjaro waliotesha hizo hybrid wanajuta kwanza zinachelewa kuzaa ila waliootesha hizi mbegu zetu za asili walipiga baoMbegu ni mbaya sijawahi kuona nilipanda songea na iringa ni kituko
Sio huko tuu Kilimanjaro walio otesha hizo hybrid wanajuta kwanza zinachelewa kuzaa ila walio otesha hizi mbegu zetu za asili walipiga bao