Ndugu wana JF napenda kufahamu baadhi ya Hasara na Faida zinazompta yeyote yule anayehamua kujiajiri mwenyewe na kutokupenda kuajiriwa na secta yoyote ile wakati vigezo vya kuajiriwa anavyo. Mfano Form Six leaver with Advanced Diploma in IT anaamua kujiajiri kuliko kuajiriwa je, mtu wa aina hii yuko sawa?
Msaada wa mawazo jamani wana JF