Hasara na faida za kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto

Hasara na faida za kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto

bung'a

Senior Member
Joined
May 7, 2012
Posts
145
Reaction score
23
eti inakuwaje ukioa mwanamke ambae alishakuwa na mtoto na huyo mtoto anakaa kwa baba yake inakuwaje siku yule mtoto akiumwa na akalazwa ikabidi mama yake aende akamuuguze. Na endapo utaamua kumlea wewe uliyemuoa mama yake itakuwaje pale baba yake atakuwa anatimba kwako kisa anakuja kumuona mtoto?na kumletea vijizawadi.na matumizi ya mtoto.
 
Labda uweke sawa hapo kidogo kuhusu huko kutimba ni kiaje? oz kama ni kuja tu kwa sababu za kimalezi there is no need ya kuwa na wasi hapo hasa ukizingatia kama ulikuwa makini kipindi kile ulipokuwa unaoa na ndo maana wazazi wetu wanasisitiza umakini mkubwa sana kuhusu mpango mzima wa kuwa na busara kipindi cha kuoa so kwa sababu hizo hutokuwa na wasiwasi katika hilo!!!!
 
Nothing to fear apo na pengine hata tgo keshaliwa,,kwa iyo watakua wanafanya marudio.
Ni sawa na kumwoa mwanamke ambaye hana bikra.
 
Kila mtu na moyo wake mwngn atachukulia poa cz anamwamini mkewe...wewe mwenye hofu zako utakaa roho juu:drama:
 
Dah! Unajua hata kama hatofanya chochote lakin kitendo cha kuja kwako na kumuona kwa macho yako kuwa ndo huyu aliyemdo na kum-mimba me kwa upande wangu siku hiyo km nilikuwa nimepanga kula mzigo naahirisha kabisa. Bora uambie kuliko kumwona LO!
 
kama huyo baba yupo na uwezo wa kuleta mpaka vijizawadi anao, kwa nini asimchukue mtoto wake akakaa naye mwenyewe? kila mtu abebe mzigo wake bana unless kuna sufficient justification ya majukumu hayo kubebwa na mtu mwingine
 
One of the major downsides is if the 'baby daddy' is in the picture because that means somehow someway you'll have to deal with him or the fact that him and your lady have some communication.

Now if you are the jealous type and if your lady is not principled enough that can be a cause for problems in your marriage/ relationship.
 
umepotea mno
wats up?
 
Duh! Akija kwangu kumletea mwanae vijizawadi atakipata pata, kwani lazima nimle tigo haki ya nani. Duh nikimwacha ataendeleza ufirauni wake kwa mke wangu wa ndoa, ili kumkomesha dawa nikumla tigo yake ndoo ajue mimi ndo zaidi.
 
labda uweke sawa hapo kidogo kuhusu huko kutimba ni kiaje? Oz kama ni kuja tu kwa sababu za kimalezi there is no need ya kuwa na wasi hapo hasa ukizingatia kama ulikuwa makini kipindi kile ulipokuwa unaoa na ndo maana wazazi wetu wanasisitiza umakini mkubwa sana kuhusu mpango mzima wa kuwa na busara kipindi cha kuoa so kwa sababu hizo hutokuwa na wasiwasi katika hilo!!!!
1.tatizo liko wapi? Si walishaachana we wivu wa nini?
2. Ukimchunguzasana kuku utashindwa kumla.
 
eti inakuwaje ukioa mwanamke ambae alishakuwa na mtoto na huyo mtoto anakaa kwa baba yake inakuwaje siku yule mtoto akiumwa na akalazwa ikabidi mama yake aende akamuuguze. Na endapo utaamua kumlea wewe uliyemuoa mama yake itakuwaje pale baba yake atakuwa anatimba kwako kisa anakuja kumuona mtoto?na kumletea vijizawadi.na matumizi ya mtoto.

Oa mke mwenye mtoto ikiwa kuna sababu mbili tu moja halali, moja haramu

1) Halali: Ikiwa mume wa awali AMEFARIKI
2)Haramu (sishauri): Ikiwa wewe ndiye chanzo cha kuachana na mume wa awali

Ama si hivyo ni hatari sana kujiingiza katika dhahama hiyo!! Ohoooooooooooooo usije lia!
 
Mkuu Kumbe Huku ndio unakimbilia ukishazidiwa kule kwenye jukwaa la siasa?
 
One of the major downsides is if the 'baby daddy' is in the picture because that means somehow someway you'll have to deal with him or the fact that him and your lady have some communication.

Now if you are the jealous type and if your lady is not principled enough that can be a cause for problems in your marriage/ relationship.

Nyani bana kizungu unakipenda, hata swali likija kiswahili wewe unatwanga kimombo. lol
 
Duh! Akija kwangu kumletea mwanae vijizawadi atakipata pata, kwani lazima nimle tigo haki ya nani. Duh nikimwacha ataendeleza ufirauni wake kwa mke wangu wa ndoa, ili kumkomesha dawa nikumla tigo yake ndoo ajue mimi ndo zaidi.

angalia kibao kisije kikakugeukia
 
Yaani katika kesi ambazo zikija kwangu huwa zinanipa utata wa kushauri basi ni hizi za namna hii. Waweza kujikuta kuwa mazuri na mabaya ya maamuzi yeyote yale yanalingana kiasi kwamba hujui umshauri nini mtu.

binafsi huwaga naishia kusema, 'Fanya kile ambacho moyo wako unakutuma ama unataka"

Ni ngumu sana familia ikawa na mtoto wa mashtuzi tena wa mama halafu mtoto huyu akakubalika kote kote kiasi kwamba asilete matatizo katika familia. ni nzuri kama mtoto huyu wa mashtuzi baba yake hayupo responsible ila kama yuko responsible kuna baadhi ya mazingira mengine ni magumu sna juu ya kufanya maamuzi.
 
hasara ipo kwa uzoefu wangu ndoa huwa haivunjiki na mara nyingi watu / wapenzi waliozaa huwa wanaendelea kufanya ,mapenzi ya chini chini na unaweza uliza unaambiwa nilikuwa naongea na mtoto wangu hata ukikuta miss call kwa kifupi ni hatari kuoa/kuolewa na aliyeachika akaacha mtoto
 
Back
Top Bottom