Hasara na gharama za uchawa

Binadamu lazima afikiri kwa umakini (critical thinking) ili atofautiane na wanyama pia viumbe wengine. Ulazima huu una asili kwa Mungu mwenyewe.
Hoja yako itapotosha na kuangamiza taifa na hata maana ya uwepo wa mwanadamu duniani.
 
Sawa

Chawa wanatengenezwa purposely

Mfano Mwijaku ni Chawa wa Haji Manara Lakini ukipita Maduka ya wahundi Kariakoo utawakuta Chawa wa Mwijaku

Kwahiyo Chawa ni Mnyororo wa Upumbavu
uchawarism upo ccm, Subiri 2025 ndio utashuhudia toleo jipya la hawa wadudu. Lililopo sasa ni toleo la 2020 lenye vinasaba vya magulification plus samilification.
 
Kaka, usiwe narrow minded kujikomba ni ancient way of manipulation technique.... yenye manufaa makubwa

Katika Imani hata mitume na manabii walisifiwa
Kwa hiyo kama kujikomba ni ancient technique huoni kwamba sasa kumepitwa na wakati tuanze kuishi maisha ya kiutu?
 
Habari mkuu samahani najaribu kuja PM naona inanigomea, sijui unanisaidiaje ili tuweze kuwasiliana.... nilikuwa na ishu Private kidogo...
 
Kwa hiyo kama kujikomba ni ancient technique huoni kwamba sasa kumepitwa na wakati tuanze kuishi maisha ya kiutu?
Mkuu hata chawa wanajua madhara ya unacho sema.....

Unaweza kuwa na utu ila haina maana kukomaa uteseke ukisoma udhaifu wa mtu kuwa chawa upige hela

usitumike kimwili both ke/me
 
Mwijaku amejenga jumba la analodai Ni bilioni 1.3 huko kigamboni kisa uchawa Kwa Diamond,sasa kama uchawa usiokudhalilisha kama kutokuwa shoga Kwa mwanaume au msagaji au msagwaji au punda,una washauri vijana wasitembelee Neutral gear kwenye Mlima?
Tunalaani kitendo cha vijana kutumikishwa kwenye uchawa kwa sababu ya umasikini wao.
 
Binadamu lazima afikiri kwa umakini (critical thinking) ili atofautiane na wanyama pia viumbe wengine. Ulazima huu una asili kwa Mungu mwenyewe.
Hoja yako itapotosha na kuangamiza taifa na hata maana ya uwepo wa mwanadamu duniani.
Inashangaz kuna baadhi ya machawa wanajitoa ufahamu wanafanya mambo ya ajabu hapa nchini tukisema wanatujia juu. Mungu anawaona.
 
tpaul una wivu sana bosi wangu. Punguza wivu. Mama yetu, Dkt wa ukweli, Dkt Original, Mzalendo namba moja, Mama mwenye hekima duniani, mpenda maendeleo, Mcha Mungu, ndiye tunatembea naye 2025-2040
Inaonekana uchawa umekuingia sana sio kwa sifa hizo. Hii ni tabia halisi ya uchawa unayoionesha.
 
Machawa ndio walimminia Risasi lisu wakauweka kando utu, haingii akilini mtu mwenye akili timamu na mwenye utu ndani ya nchi huru akamimina Risasi kinyama kiasi kile, mwl aliwaweka Machawa vitini akawapiga vikumbo kina Yona kazi Bure, wapi Oscar Kambona?
 
Tunalaani kitendo cha vijana kutumikishwa kwenye uchawa kwa sababu ya umasikini wao.
Umeona machawa walivyo chagiza kwenye Harambee ya Kuchangia timu za taifa?
 
Michawa ni mijitu ya ajabu sana. Ipo tayari kutekeleza jambo lolote kuwafurahisha wanasiasa wachumiatumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…