HASARA YA KUNYWA MAJI YA BARIDI FAIDA YA KUNYWA MAJI YA UVUGUVUGU CHAGUWA WEWe

Maji ya Baridi yana madhara kwa binadamu. Usipendelee kunywa maji ya baridi kila wakati kunywa maji ya uvuguvugu kwa afya yako mkuu TUKUTUKU

Mkuu mzizi mkavu ili niweze kulinda afya yangu nahitaji kubadili tabia,ingawa huu ni mtihani mgumu sana kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Nakama unataka kuwa na afya mzuri basi kunywa glass mbili za maji mara tu baada ya kuamka asubuhi, hiyo itakusaidia kuamsha viungo vyako vya mwili ili vifanye kazi sawa sawa, kunywa glass moja ya maji kabla ya chakula hiyo inasaidia kuyeyusha chakula vizuri (digestion ), kunywa glass moja ya maji kabla ya kuoga itakusaidia kuepuka blood pressure , kunywa glass moja ya maji wakati wa kulala usiku inakusaidia kuepuka heart attack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…