Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya Baridi yana madhara kwa binadamu. Usipendelee kunywa maji ya baridi kila wakati kunywa maji ya uvuguvugu kwa afya yako mkuu TUKUTUKUMkuu MziziMkavu,mimi na maji baridi ni pete na kidole!
Mkuu mzizi mkavu ili niweze kulinda afya yangu nahitaji kubadili tabia,ingawa huu ni mtihani mgumu sana kwangu!Maji ya Baridi yana madhara kwa binadamu. Usipendelee kunywa maji ya baridi kila wakati kunywa maji ya uvuguvugu kwa afya yako mkuu TUKUTUKU
![]()
Jitahidi mkuu TUKUTUKU ili uweze kunywa maji ya uvuguvugu tembelea hapa uone faida za kunywa maji ya uvuguvugu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/365977-muujiza-ya-matibabu-kwa-maji-ya-moto-kunywa.htmlMkuu mzizi mkavu ili niweze kulinda afya yangu nahitaji kubadili tabia,ingawa huu ni mtihani mgumu sana kwangu!