Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.

Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
 
"Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi"

©️ Hasheem Ibwe
Afisa habari wa klabu ya Azam.
🤣🤣🤣 Kapigwa kijembe rojo rojo fc anajulikana aliyecheza na timu zilizozuiliwa wachezaji wake wasicheze mechi dhidi yao, na wakashinda wakajipongeza🤣🤣👍
 
Ila huyu Hasheem, huwa anafoc sana king, ila kakuta wajaa hata hawamfatilii,
Yaan wamempuuza, poleee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sisi tunamfuatilia.

Sema nyie Mbumbumbu FC ndio hamfuatilii. Kama ungekuwa humfuatilii usingemjua jina lake. Kasema kweli, ligi kuu inaanza kesho. Ile ya kucheza na timu zilizofungiwa kusajili ilikuwa ni kichekesho.
 
WhatsApp Image 2024-08-24 at 22.59.29.jpeg
 
Ila huyu Hasheem, huwa anafoc sana king, ila kakuta wajaa hata hawamfatilii,
Yaan wamempuuza, poleee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aungane na Chinene WA Vitalo😁
 
Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.

Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
Hawana jipya wametoka kuaibisha Taifa huko.
 
Azam wameniangusha sana kudundwa kizembe vile na APR...!??!!! Hadi mzuka wa kuivaa jezi ya Azam unakata
 
Back
Top Bottom