Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

Azam wameniangusha sana kudundwa kizembe vile na APR...!??!!! Hadi mzuka wa kuivaa jezi ya Azam unakata
Hahahahaha..Mkuu ulitegemea APR afungwe na Azam, pale Amahoro? Kwa Rwanda bora ucheze na Rayon au Kiyovu ila sio APR pale Amahoro
 
Azam anaforce bifu na simba, ila ajue simba na Azam wanaundugu. Hawa watoto sijui wametolewa wapi
 
Daaaaah! nilitegemea Azam walau hata wangesuluhu tu pale Amahoro, matokeo yake wakadungwa mbili
Hahahahaha, hy ngumu, binafsi nilijua Azam hashindi Amahoro, ushindi wake wa kuvuka ilikua ni kushinda magoli mengi kwake ...

Azam alisahau kanuni kuu ya Mashindano ya mtoano ni kila mtu ashinde kwake nyumbani, unashinda goli ngapi na matokeo yaweje wakasahau ..
 
Tunaipenda lamba lamba fc lakini wanatuangusha kinoma noma,maneno mengi vitendo sifuri ingependeza mipasho ikabaki kariakoo fc's
 
Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.

Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
Huyu mbilikimo wa kipare bora aendeshe kipindi cha watoto tu
 
Alimaliza juu ya mnyama,na hujipigia atakavyo hilo nyama koko
Utakuwa na mtindio wa akili au ukosefu wa kumbukumbu. Azam alimfunga Simba ngapi na akafungwa ngapi?Ulikuwa jela au ushabiki umeanza mwezi Augusti 2024?
 
Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.

Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
Ash Ibwe.
 
Back
Top Bottom