Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
🤣🤣🤣 Kapigwa kijembe rojo rojo fc anajulikana aliyecheza na timu zilizozuiliwa wachezaji wake wasicheze mechi dhidi yao, na wakashinda wakajipongeza🤣🤣👍"Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi"
©️ Hasheem Ibwe
Afisa habari wa klabu ya Azam.
Ya wachezaji 7 uwanjani😄😄😄Binadamu tumeumbwa kusahau. Kwa hiyo bila zile point 3 za game yao ya kwanza msimu uliopita wangeenda huko CAFCL kutuaibisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafosi kupambana na mnyama wa nyika....
Hana levo hizo...
Yani huyo ni kama Msemaji Wa Vital o aliyedoda....
Alimaliza juu ya mnyama,na hujipigia atakavyo hilo nyama kokoAnafosi kupambana na mnyama wa nyika....
Hana levo hizo...
Yani huyo ni kama Msemaji Wa Vital o aliyedoda....
Nawee naweee! Ligi liliyopita, alipata pointi ngapi kutoka kwa mnyama?Alimaliza juu ya mnyama,na hujipigia atakavyo hilo nyama koko
Mbona sisi tunamfuatilia.Ila huyu Hasheem, huwa anafoc sana king, ila kakuta wajaa hata hawamfatilii,
Yaan wamempuuza, poleee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aungane na Chinene WA Vitalo😁Ila huyu Hasheem, huwa anafoc sana king, ila kakuta wajaa hata hawamfatilii,
Yaan wamempuuza, poleee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana jipya wametoka kuaibisha Taifa huko.Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.
Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
Hahahahaha, hawezi kukosa la kusema ,ni kazi yakeKesho wakiambulia point moja atasemaje?