Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..Mkuu ulitegemea APR afungwe na Azam, pale Amahoro? Kwa Rwanda bora ucheze na Rayon au Kiyovu ila sio APR pale AmahoroAzam wameniangusha sana kudundwa kizembe vile na APR...!??!!! Hadi mzuka wa kuivaa jezi ya Azam unakata
Daaaaah! nilitegemea Azam walau hata wangesuluhu tu pale Amahoro, matokeo yake wakadungwa mbiliHahahahaha..Mkuu ulitegemea APR afungwe na Azam, pale Amahoro? Kwa Rwanda bora ucheze na Rayon au Kiyovu ila sio APR pale Amahoro
Relaaaaaaxxxxxx!!!Mbona sisi tunamfuatilia.
Sema nyie Mbumbumbu FC ndio hamfuatilii. Kama ungekuwa humfuatilii usingemjua jina lake. Kasema kweli, ligi kuu inaanza kesho. Ile ya kucheza na timu zilizofungiwa kusajili ilikuwa ni kichekesho.
Kabisaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aungane na Chinene WA Vitalo[emoji16]
Hahahahaha, hy ngumu, binafsi nilijua Azam hashindi Amahoro, ushindi wake wa kuvuka ilikua ni kushinda magoli mengi kwake ...Daaaaah! nilitegemea Azam walau hata wangesuluhu tu pale Amahoro, matokeo yake wakadungwa mbili
Huyu mbilikimo wa kipare bora aendeshe kipindi cha watoto tuMsemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.
Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
Mpaka sasa matokeo yakoje?
Utakuwa na mtindio wa akili au ukosefu wa kumbukumbu. Azam alimfunga Simba ngapi na akafungwa ngapi?Ulikuwa jela au ushabiki umeanza mwezi Augusti 2024?Alimaliza juu ya mnyama,na hujipigia atakavyo hilo nyama koko
Huyu shabiki asiekua na data...Azam wanajipigiaga UtoUtakuwa na mtindio wa akili au ukosefu wa kumbukumbu. Azam alimfunga Simba ngapi na akafungwa ngapi?Ulikuwa jela au ushabiki umeanza mwezi Augusti 2024?
Huna data ww dogo kaa kimya...juzi hapa alipigwa ngapi...msimu uliopita...Alimaliza juu ya mnyama,na hujipigia atakavyo hilo nyama koko
Ash Ibwe.Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi.
Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.