Hasheem ibwe: Simba bado sana kushindana na Azam

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.


 
"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."

- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.
Hebu tuwekee ranking za CAF zilizotoka juzi tuone Azam iko wapi kwa mujibu wa Shirikisho la Soka la Afrika ambalo ndilo mwanachama wa FIFA yenye mpira wake wa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…