Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo wasemaji wengiwao hawajawahi kuwa wachezaji hawajui kijasho kinavyowatokaga watu hapo kati!mbona juzi wamekula nyingi?
Angaalie mechi ya juzi"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."
- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.View attachment 3070452
mtu umekula nne mwenzio moja halafu unapiga keleletatizo wasemaji wengiwao hawajawahi kuwa wachezaji hawajui kijasho kinavyowatokaga watu hapo kati!
Mmefika huku kwa kulinganisha idadi ya magoli mloyofungwa?mtu umekula nne mwenzio moja halafu unapiga kelele
Hashim Ibwe ni Simba mzeeMalizia tu , Maneno aya akisema mpenzi na mshabiki wa Young Africans ambae kwasasa ni msemaji wa Azam FC ndugu Hashim Ibwe 😃😃
Wewe wasema ila mimi nilienae karibu najua na nakwambia ilo.Hashim Ibwe ni Simba mzee
Hebu tuwekee ranking za CAF zilizotoka juzi tuone Azam iko wapi kwa mujibu wa Shirikisho la Soka la Afrika ambalo ndilo mwanachama wa FIFA yenye mpira wake wa miguu"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."
- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.
Hivi vitoto huwa wanavitoa wapi?"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."
- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.View attachment 3070452