Hasheem ibwe: Simba bado sana kushindana na Azam

Hebu tuwekee ranking za CAF zilizotoka juzi tuone Azam iko wapi kwa mujibu wa Shirikisho la Soka la Afrika ambalo ndilo mwanachama wa FIFA yenye mpira wake wa miguu
Rank don't matter mkuu
 
"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."

- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.View attachment 3070452
Nilianza kusoma kabla ya kusoma jina la mleta thread hii, kabla sijamaliza, nikawa nishahisi mtumaji ni wewe Labani og
 
Hebu tuwekee ranking za CAF zilizotoka juzi tuone Azam iko wapi kwa mujibu wa Shirikisho la Soka la Afrika ambalo ndilo mwanachama wa FIFA yenye mpira wake wa miguu
Simba anashika nafasi ya 7. Alikua nafasi ya 5. Wewe huogopi?
 
Hashim Ibwe ni Simba mzee
Nikiwa nakudharau Kutwa unaona nakosea. Watu wote wa Media tunamjua Ibwe ni Yanga SC 100% Wewe unasema ni Shabiki wa Simba SC. Ukiacha uwezo wako mkubwa wa Kutwea tu Kuwekeza Chuki zako dhidi ya GENTAMYCINE hapa JamiiForums hakuna kingine unachokijua.

Haya karibu tena Unitukane au Unikashifu sawa?
 
Wewe hata mpira huangaliagi Hashim Ibwe wakati yupo Azam media alikuwa anaenda kuishabikia Simba kwenye za kimataifa hajawahi kufanya hivyo kwa Yanga.
 
Wewe hata mpira huangaliagi Hashim Ibwe wakati yupo Azam media alikuwa anaenda kuishabikia Simba kwenye za kimataifa hajawahi kufanya hivyo kwa Yanga.
Liangalie hovyoooooo. Hasheem Ibwe ni mwana Yanga SC 100% acha Ubishi. Hata Waandishi wa Habari wanaokusoma Wanakudharau kama siyo Kukucheka pia. Tuachie tunaojua mengi tukujuze na usitake Kushindana nasi wenye hiyo Tasnia sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…