Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Simba ni level za kmc na mashujaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilianza kusoma kabla ya kusoma jina la mleta thread hii, kabla sijamaliza, nikawa nishahisi mtumaji ni wewe Labani og"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."
- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.View attachment 3070452
😂Na coaster
Simba anashika nafasi ya 7. Alikua nafasi ya 5. Wewe huogopi?Hebu tuwekee ranking za CAF zilizotoka juzi tuone Azam iko wapi kwa mujibu wa Shirikisho la Soka la Afrika ambalo ndilo mwanachama wa FIFA yenye mpira wake wa miguu
jua ivo tu kwaiyo sio ajabu yeye kusema ayoSidhani kama alikuwa shabiki wa Yanga
Ukweli mchungu."Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."
- Hasheem Ibwe, Msemaji wa Azam FC.View attachment 3070452
@GENTAMYCINEKuna yule anajiita GENTAMYCINE yeye alishawahi kusema mwenyewe
Nikiwa nakudharau Kutwa unaona nakosea. Watu wote wa Media tunamjua Ibwe ni Yanga SC 100% Wewe unasema ni Shabiki wa Simba SC. Ukiacha uwezo wako mkubwa wa Kutwea tu Kuwekeza Chuki zako dhidi ya GENTAMYCINE hapa JamiiForums hakuna kingine unachokijua.Hashim Ibwe ni Simba mzee
Dah kwa hiyo siku hizi kila timu ikicheza na Yanga inaingia kupunguza idadi ya magoli itayofungwa na sio ushindi wala sare?mtu umekula nne mwenzio moja halafu unapiga kelele
Wewe hata mpira huangaliagi Hashim Ibwe wakati yupo Azam media alikuwa anaenda kuishabikia Simba kwenye za kimataifa hajawahi kufanya hivyo kwa Yanga.Nikiwa nakudharau Kutwa unaona nakosea. Watu wote wa Media tunamjua Ibwe ni Yanga SC 100% Wewe unasema ni Shabiki wa Simba SC. Ukiacha uwezo wako mkubwa wa Kutwea tu Kuwekeza Chuki zako dhidi ya GENTAMYCINE hapa JamiiForums hakuna kingine unachokijua.
Haya karibu tena Unitukane au Unikashifu sawa?
Liangalie hovyoooooo. Hasheem Ibwe ni mwana Yanga SC 100% acha Ubishi. Hata Waandishi wa Habari wanaokusoma Wanakudharau kama siyo Kukucheka pia. Tuachie tunaojua mengi tukujuze na usitake Kushindana nasi wenye hiyo Tasnia sawa?Wewe hata mpira huangaliagi Hashim Ibwe wakati yupo Azam media alikuwa anaenda kuishabikia Simba kwenye za kimataifa hajawahi kufanya hivyo kwa Yanga.