Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 643 May 21, 2011 #81 Dawa ya Hasheem ni Michael Kimei, jokes aside eti kakufuru mnajua kagawa kiasi gani? Unaweza kukuta ata haikufika $ 1,000, akifanya Diddy mnamsifia akifanya mbongo mwenzenu mnampiga madongo duh!
Dawa ya Hasheem ni Michael Kimei, jokes aside eti kakufuru mnajua kagawa kiasi gani? Unaweza kukuta ata haikufika $ 1,000, akifanya Diddy mnamsifia akifanya mbongo mwenzenu mnampiga madongo duh!
M Maimai Senior Member Joined Nov 1, 2010 Posts 174 Reaction score 4 May 21, 2011 #82 yoyo demu na anatamani ile mipesa achukue yeye....