Charles Mtekateka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 317
- 89
hawa ndio masupastaa wa kibongo hawa?badala ya kuwaza mambo ya maana akili zimejaa ugoro tu na masifa kwa mademu,yaani watu wengine sijui wameumbwaje jamaa ustaa wote alioupata bado akili kama ya mtoto wa kiswazi manzese au tandale kabisa,T.I.D kafanya makusudi kumchokoza kwani yeye tid hana atakachopoteza,ila jamaa yangu mrefu kavu kweli,mi nilijua sasa hivi kuteremka na hilo vogue makusudi awakomoe waswahili walipomsema alipokuwa kashushwa daraja.sasa sijui anamkomoa nani,bwa mdogo kua hivi visenti vya msimu vitakimbia utabaki kusema mimi ndiyo yuuule hashimu wa N.B.A.shauri yako,wamechoka kina mike tyson,wesley snipes itakuwa huyo hashim,mi yangu macho tu.
miafrica ndivyo ilivyo. you said it bro. hata ikienda ulaya uafrica haui ishi lolHuyu dogo naona anachezea career yake sasa maana watu wa NBA wana personal conduct policy na haijalishi uko wapi. Wao wanataka wawakilishwe vyema na wawakilishi (wachezaji na watu wengine walo affiliated nao) wao. Huyu dogo na ujinga wake atakuja kutoswa huyu. Mchezo wenyewe hauwezi vizuri halafu bado ana act kijinga jinga. Ngoja David Stern asikie hizi habari na kama ni za kweli tutaona kitakachoendelea
NN... i wish huyu dogo angekua anasikiliza ushauri, he is surrounded by wrong people with far less expectations and conducts! Ninyi mlio states nashauri mfanye namna fulani ya kumnyoosha kwa advice in writing or something, otherwise ni bora asije tena huku bongo kwani anajiharibia sana na anakuwa na very short memories kwamba yulele mamake angekua wapi na hashim kama si basketball
Kwa upande wa TID, he is just pain in the ass!!! jamaa ni kimavi fulani na mara nyingi hupenda kukeara watu kwa maneno hasa akilewa... BUT HE IS TOO LOW FOR HASHIM EVEN TO START A FIGHT WITH
kweli wabongo tuna shida
Aisee unajua the more i read this story the more i wish to reach for the gun and shoot this young man because his acts may curse future potentialsHii ni sawa na LeBron kuwa na beef na Soulja Boy...
Just like R.Kelly said...why would an elephant swat a fly..?
Aisee unajua the more i read this story the more i wish to reach for the gun and shoot this young man because his acts may curse future potentials
please please Tanzanians, lets deliver the message to Hashimu to stop nonsense he is just wiping his ass in the public!!!
SO PAINFUL!
Kwani huwa kinamrudisha nini bongo mara kwa mara? manake sasa imekuwa kama wimbo wa taifa mara jana alikuwa machoz leo yuko bills kesho ngwasuma!!!