HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!

HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!

His lanky ass should stay away from bad publicity....

Badala ya kutumia offseason kubaki US na kutafuta watu kama akina Olajuwon au Mutombo wamsaidie kunyanyua kiwango cha uchezaji wale yuko mtaani. Huyu kijana naona hana watu wanaompa ushauri mzuri asipokuwa makini basi NBA inaweza kuwa history na akarudi kuwa mlalahoi.
 
Huyo dogo ni kama vile amerogwa..............honestly......................
 
Hasheem namwona hapa IFM shule na VOGUE lake anafungulia muziki mkubwa milango yote wazi na wapambe wake kisa anatafuta attention kwa wasichana.....????????? kama mtu anabisha leo mida ya saa 11 na nusu pitia pale IFM chuo utajionea mwenyewe.

Ndiyo matatizo ya kutokuwa na elimu. Ushamba wa hali ya juu!!!!
 
kama TID kabondwa raha sana!amezidi kuwa mbabe
 
hawa ndio masupastaa wa kibongo hawa?badala ya kuwaza mambo ya maana akili zimejaa ugoro tu na masifa kwa mademu,yaani watu wengine sijui wameumbwaje jamaa ustaa wote alioupata bado akili kama ya mtoto wa kiswazi manzese au tandale kabisa,T.I.D kafanya makusudi kumchokoza kwani yeye tid hana atakachopoteza,ila jamaa yangu mrefu kavu kweli,mi nilijua sasa hivi kuteremka na hilo vogue makusudi awakomoe waswahili walipomsema alipokuwa kashushwa daraja.sasa sijui anamkomoa nani,bwa mdogo kua hivi visenti vya msimu vitakimbia utabaki kusema mimi ndiyo yuuule hashimu wa N.B.A.shauri yako,wamechoka kina mike tyson,wesley snipes itakuwa huyo hashim,mi yangu macho tu.

Mkuu mimi sijachoka... Muonye kijana.. Ushamba wa ma muziki makubwa ndani ya gari na kufungua mlango kama inavyoelezwa ni jambo la kujidharirisha. Kupigana ndio upunguani kabisa kwani anaonyesha anatoka kwenye familia ya jinsi gani.

Sitamani kuona vitendo vya jinsi hii bado vinaendelea sehemu nyingi za ma club Tanzania, Yeye analingia hela, Je watoto wa mjini wakimchoma kisu au kumtia kilema cha maisha itakuwa je? Mwenye ukaribu nae amweleze, Ustaarabu ni kujiheshimu.
 
Huyo dogo ni kama vile amerogwa..............honestly......................

Mkuu,

unajua samtaimu tunaharibu wenyewe kisha tunasema eti tumelogwa?
Huyu Thabeet kaniuzi kweli na hii kitu.
 
Hasheem naye aache uswahili yeye tayari ni maarufu........kajichanganya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu wakora wakimtokea si wanamfanyizia kweli?.....abadilike la sivyo hatafika mbali...

Ukiisoma hiyo taarifa ya T.I.D utaona kwamba hataki kueleza sababu ya yeye kupigwa(anasema kapigwa bila kosa...inawezekana?.....),halafu anadai kapoteza simu,pia alipoteza fahamu....na andai kwamba kashindwa kufanya shoo......pia yupo kitandani hajiwezi.....uswahili mtupu............anachotaka sijui ni hela ama???????......Hashim bana............aaaaaaaaaaaaargh

Mkuu B wacha kabisa, Bongo watu wakishakuona namna gani basi wanaweza kukuanzishia issue tu. Nakumbuka Nili kwenda Club jina kapuni, Nimepiga kilaji changu kimya baada ya muda katokea jamaa kani push ile ya makusudi ya kuangushana. Bahati nzuri nilikuwa nilisha lielewa gemu.

Nikapangusa kinywaji kwenye shati langu nikaweka glas chini nikaamua kutoka kwenda Hotelini, Hapa najua kuna mambo mengi, kwanza kuna wenye wivu, Pili kunawenye kutaka kukuibia kama una vitu vizuri au hela ya kutosha na la mwisho ni hizi kesi ili ulipe faini.
Sasa wajua watu wengine sisi kunguru muoga hukimbiza ubawa wake, Kwanini niende kujiharibia kazi kwa mwajiri wangu kisa mtu kani provoke.
 
Mkuu mimi sijachoka... Muonye kijana.. Ushamba wa ma muziki makubwa ndani ya gari na kufungua mlango kama inavyoelezwa ni jambo la kujidharirisha. Kupigana ndio upunguani kabisa kwani anaonyesha anatoka kwenye familia ya jinsi gani.

Sitamani kuona vitendo vya jinsi hii bado vinaendelea sehemu nyingi za ma club Tanzania, Yeye analingia hela, Je watoto wa mjini wakimchoma kisu au kumtia kilema cha maisha itakuwa je? Mwenye ukaribu nae amweleze, Ustaarabu ni kujiheshimu.
he he hee sawa mkuu kumbe upo hapa?aah huyu jamaa anatia maudhi bana yaani hata kumshabikia sasa mtu unajiona ****,anatupoteza mashabiki kwa mambo yake haya ya kishamba.
 
Diddy is so obnoxious and stupid (see video of him complaining about high gas prices) that one forgets that he's a serious menace. He fueled the bi-coastal beef that resulted in the deaths of two of hip-hop's greatest emcees, assaulted a record exec with a champagne bottle and led J-Lo down a path of destruction that resulted in a weepy police room scene. But the defining moment? During a recent assault trail, Diddy claimed that Steve Acevedo used his face to attack Diddy's fist.

LINK:http://www.rhapsody.com/gallery/image?galleryId=22806538&imageId=22806446

My Take: Hasheem aseme kuwa ni TID alikuja akajibamiza miguu yake kwenye mguu wake, akajipiga mtama na akateleza akaangukia PUA.
 
he he hee sawa mkuu kumbe upo hapa?aah huyu jamaa anatia maudhi bana yaani hata kumshabikia sasa mtu unajiona ****,anatupoteza mashabiki kwa mambo yake haya ya kishamba.


Mkuu nipo sana tu..!! Kijana ni sawa na wana apolo wa milerani..! Wakipata fedha utawaelewa tu.. Fujo kuanzia Gongo la mboto hadi Uwanja wa fisi, Na kila mwanamke mzuri atamfahamu japo kwa ushamba wake.
 
Hahahahaha mama yangu hashimu kumbe hamnazo ! Unajua ananikumbusha vitu vya enzi zetu kipindi kile sio mchezo tulikuwa tunagombea msichana harafu unaondoka naye. Na atakayeleta mchezo anapigwa. Na mtu alikuwa anakuwa na wasichana wengi harafu hakuna mtu kugusa. Ila siku zenu hizi tena hiyo siyo sifa jamani jihadharini sana. maana ........... mtamalizia wenyewe
 
Hiyo $ 10M imetokea wapi jamani????...ni nyingi lakini ni under $4M year...$7.7M two year contract ka sign, check article below, wenzie wamesign 3 to 4 year, nadhani waliona risk sababu Hasheem Thabeet ukiondoa height, Bado ni Raw dogg!!

Grizzlies Sign Thabeet
July 20, 2009|By MIKE ANTHONY, manthony@courant.com

Hasheem Thabeet officially cashed in this weekend, signing a contract with the Memphis Grizzlies that will pay him roughly $7.7 million over the next two years.

Thabeet, the second pick in the NBA draft in June, was a two-time national defensive player of the year at UConn. He was Big East co-player of the year with Pittsburgh's DeJuan Blair last season as a junior.

This was always the type of jackpot many envisioned would await Thabeet, a 7-foot-3 center, even when he arrived at UConn having played only three years of organized basketball. Coach Jim Calhoun has said that Thabeet improved over three years as much as any player he has ever coached
 
ukifwtailia vizuri lazima kuna sababu ,,muhimu na umuhimu wake ni kama ulivyoonekana mmoja lazima afundishwe adab
hasheem chapa makofi hao kinda ..stupid hawana heshima wanatumia usuperstaa wao kuleta dharau......
ningekuwa hasim ningeenda kumfwata shigongo nirudi nae bills apate picha za kumkumbusha TID
 
Just Another Mswahili ndani ya NBA , tatizo hajitambui kama anazo, unapopata pesa ghalfa ni unakua bado nafsi yako haija tambua hilo nakujiona yule yule na uta hang kule kule kwa waswazi wenzako kuwatanulia. Kama hao kina P.Diddy na waswazi wengine wa USA , lazima warudi kwnye projects kuosha au kuza sura mtani ,ndio pale utasikia fulani kapigwa risasi , ni uswahili tuu huyo ambao hautoki, kama mdau alivyo sema u can't buy class!

Kama anataka attentention si angekua na party na kina Paris Hilton na malaya wengine wa Hollywood walio na class , sisi huku tungeona kwenye news too or E! news na angeonekana ana class kuliko kutafuta attention eti kujionyesha kwa wenzake na uma kwamba yeye ana hela lakini bado wa kitaa , low class mofo!
 
Ukisoma kwenye blog yake tid jinsi alivyoandika habari kama anajiandaa kumfungulia kesi apate fidia. Naona kuna ka kesi hapa kana kuja.
 
"KWELI MASKINI AKIPATA ****** HULIA MBWATA" mimi nafananisha TID na HASHEEM na malimbukeni wa mapesa. Mafano Hasheem yeye ni star mkubwa NBA na mchanga sana, anatakiwa alinde uwezo wake na personality yake lakini kwa sababu alikuwa choka mbaya enzi hizo na hakutesa kivile sasa ameona ni wakati wake wa kufanya hivyo, mi sioni mantiki ya yeye kuwa anakuja bongo mara kwa mara kupoteza uwezo wake kwa maana huku bongo hafanyi hata mazoezi ya maana zaidi ya kula monde na mademu matokeo yake atatolewa NBA kwa kushuka uwezo wake, NBA ni ligi ngumu sana so kama hatafanya mazoezi ya kutosha atakosa timu au kushushwa daraja kama alivyofanyiwa.Nashauri apatiwe ushauri mzuri kuhusu future yake NBA na maisha yake kwa ujumla, hela anazolipwa na misifa anayopewa hapa nchini zinamvimbisha kichwa na kumfanya afanye mambo ya ajabu.TID yeye ni mcharuko tu anapenda kujisifu na kujiona ni msanii bora "msanii bongo?". Celebritiesssss.... mnatubore.
 
Back
Top Bottom