Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Si unajua limbukeni wengine wanataka kuonekana, kulimbwata, nioneni na mie nimo.
Anajua huku USA na U NBA wake wote kuna machizi watamuona kitoko tu, tena ndiyo kwanza wataanza kumsagia stats zake.
Sasa akija bongo anajua kila mtu anamtetemekea NBA superstar. Ndiyo yale yale ya masikini akipata ****** hulia mbwata.
Wakati kina Warren Buffet wanaendesha mikoko ya kutoka mid seventies huko, huku wameisusa mibilioni ya dola iende kugawiwa kwenye charities. NAongea mibilioni ya dola.
SAsa mwenzetu kapata milioni kadhaa tu zinamlevya. Asije kugeuka MIke Tyson wetu tu.
Poor Hasheem..........bora arudi tu Marikani...
Mtu anafanya upuuzi wa kijinga wewe unamuita "poor Hasheem"?
Hivi huyu akikatishwa contract na kurudi mtaani tukisema hatumhurumii mnaweza kutushangaa?
Ilikua majira ya saa kumi unusu nikiwa natoka club billcanas pamoja na rafiki yangu ANNA tukiongozana kuelekea mlango mkubwa wa kioo nikiwa naongea na simu na Hisbert kwa sauti ya juu maana kelele za muziki zilikua zinasumbua nikiwa nimesimama nje ya mlango wa kioo ghafla akatokea bwana HASHIM ambaye alikua counter akiongea na wakata ticket akaja nje na kunipiga bonge la mtama nikaaunga chini ya sakafu na kuzirai kwa dakika kadhaa,mabaunsa wakanibeba na kuniweka pembeni maana nilikua mlangoni,nilipozinduka nilisikia maumivu makali kwenye mabega,mkono wangu wa kulia na mguu ambao unafanya kutembea kwangu kwa taabu,nikaangalia mkononi simu yangu sikuiona tena,nikawauliza mabaunsa wake jamaa amekwenda wapi!wakadai ameondoka tayari...nikajikokota kuelekea kwenye gari yangu na kuelekea polisi kutoa taarifa niweze kupata matibabu,nilipofika nikaaandika statement nikapewa namba ya case CD/RB/6848/10 pia nikapatiwa PF3 nikaenda hospitali nikapata matibabu,sasa hivi niko kitandani siwezi kutembea vizuri,pia nitashindwa kuperfom kwenye harusi ambayo tayari nishalipwa pesa tayari.SWALI langu ni kwanini ameamua kunidhalilisha vile mbele ya CLUB na FANZ ambao nilikua nawatumbuiza?kwanini ameamua kuniharibia kazi yangu?kwanini ameamua kunipiga bila ya kumkosea?JE NI SAWA HIVI JAMANI....naona MACHOZI YANANITOKA SINA CHA KUMUELEZA MAMA YANGU.
source http://topbandtz.blogspot.com/
Ndiyo maana namuonea huruma...Kwa sababu anafanya kitu ambacho anajua kabisa kwamba hakipaswi kufanywa na mtu wa aina yake....T.I.D si saizi yake.....Celebrities wa Bongo wote si size yake.....Kwa mwenendo niliomuona nao tangu arejee Bongo nilihisi tukio la aina hii laweza kutokea...Dogo kaingia mpaka vilabu vya uswazi eti anajirusha...mara kuna siku kazuiwa kuingia Miss Universe akaanza kupandishiana na mabaunsa,mara yupo huku..........Shauri yake bana
Duh!..Jamaa kashaitundika kwenye blog yake na naona pia keshawapa mwera taarifa.Is he planning on
suing the guy?...Ingekua Marekani hii kitu ingekua big dili maana TID angetafuta kulipwa kipato flani kutoka
kwenye hio $14 million anayopewa.
If TID is smart this thing is not going away anytime soon. Hasheem ameonyesha poor judgement and
he cannot run away from this. Utoto samtaimu unasumbua hususan unapogongana na mihela kibao.
Hasheem, please style up.This is fair criticism.
how old is the boy? given his background should his first priority be fancy cars?
Nimeisoma hii...........Hasheem kayataka mwenyewe....T.I.D naye lazima ana matatizo lakini,yeye kila siku kupigana tu..........abadilike
Si unajua TID ni mswahili with nothing to lose. Na kama usemavyo Hasheem kayataka mwenyewe haya. Hii ishu ikimfikia David Stern, u best believe kutakua na repercussions, especially TID akishikilia bango kua jamaa kampa life alteriing injuries...which is very easy ukipata daktari mshkaji akuandikie ripoti.
Mimi nimemaindi sana hii kitu.
ndg yangu waingereza wanakwambia`once your name is on internet your finished``hizi ni kama habari za kijinga lakini usishangae zikamfikia stern hivi hivi,na unajua tena jamaa akala punishment ingine,nashindwa kumwelewa anaenda kupigana na T.I.D.hata mwendawazimu hawezi fanya hivyo,nashangaa alikua na wapambe wa nini sasa?ishu ndogo kama hizo angewauzia kesi wapambe ndo wampe kichapo,wakati yeye katulia pembeni tulii,haya tid kashaklaim mahela saa sijui nini,na usikute kashapanga dili na polisi wa kibongo wamtoke hela huyo mbwiga wa N.B.A.Si unajua TID ni mswahili with nothing to lose. Na kama usemavyo Hasheem kayataka mwenyewe haya. Hii ishu ikimfikia David Stern, u best believe kutakua na repercussions, especially TID akishikilia bango kua jamaa kampa life alteriing injuries...which is very easy ukipata daktari mshkaji akuandikie ripoti.
Mimi nimemaindi sana hii kitu.
Hasheem namwona hapa IFM shule na VOGUE lake anafungulia muziki mkubwa milango yote wazi na wapambe wake kisa anatafuta attention kwa wasichana.....????????? kama mtu anabisha leo mida ya saa 11 na nusu pitia pale IFM chuo utajionea mwenyewe.
mkuu kibongo bongo lazima atengeneze mazingira ya kuvuta si unajua jamaa ni kama wale wa mererani,teh tehHasheem naye aache uswahili yeye tayari ni maarufu........kajichanganya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu wakora wakimtokea si wanamfanyizia kweli?.....abadilike la sivyo hatafika mbali...
Ukiisoma hiyo taarifa ya T.I.D utaona kwamba hataki kueleza sababu ya yeye kupigwa(anasema kapigwa bila kosa...inawezekana?.....),halafu anadai kapoteza simu,pia alipoteza fahamu....na andai kwamba kashindwa kufanya shoo......pia yupo kitandani hajiwezi.....uswahili mtupu............anachotaka sijui ni hela ama???????......Hashim bana............aaaaaaaaaaaaargh
Tatizo ni shule!kwa tabia hii hakuna haja ya gari yake kupewa namba maalumu 'TSS...' bora iwe T...AEK kama za sisi walalahoi tu. alitakiwa awe anamake difference.
Jamani huku majuu atambabaisha nani?. Kama ni chenji kuna watu wanazo balaa, kwa hiyo kwake yeye sehemu pekee ya kujionyesha ni bongo. Hivi kweli mnadhani ataweza kuingia club wanazoingia watu kama akina PDiddy and company?.To be honest mimi sishangai kabisa.....
Huyu dogo ni wale mabitoz wanaotoka bush na kuingia dar wakiwa
tayari watu wazima,wana kuwa na the urge to prove kuwa sio washamba..
Mwishowe wanathibitisha kuwa ni washamba