His lanky ass should stay away from bad publicity....
Hasheem namwona hapa IFM shule na VOGUE lake anafungulia muziki mkubwa milango yote wazi na wapambe wake kisa anatafuta attention kwa wasichana.....????????? kama mtu anabisha leo mida ya saa 11 na nusu pitia pale IFM chuo utajionea mwenyewe.
hawa ndio masupastaa wa kibongo hawa?badala ya kuwaza mambo ya maana akili zimejaa ugoro tu na masifa kwa mademu,yaani watu wengine sijui wameumbwaje jamaa ustaa wote alioupata bado akili kama ya mtoto wa kiswazi manzese au tandale kabisa,T.I.D kafanya makusudi kumchokoza kwani yeye tid hana atakachopoteza,ila jamaa yangu mrefu kavu kweli,mi nilijua sasa hivi kuteremka na hilo vogue makusudi awakomoe waswahili walipomsema alipokuwa kashushwa daraja.sasa sijui anamkomoa nani,bwa mdogo kua hivi visenti vya msimu vitakimbia utabaki kusema mimi ndiyo yuuule hashimu wa N.B.A.shauri yako,wamechoka kina mike tyson,wesley snipes itakuwa huyo hashim,mi yangu macho tu.
Huyo dogo ni kama vile amerogwa..............honestly......................
Hasheem naye aache uswahili yeye tayari ni maarufu........kajichanganya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu wakora wakimtokea si wanamfanyizia kweli?.....abadilike la sivyo hatafika mbali...
Ukiisoma hiyo taarifa ya T.I.D utaona kwamba hataki kueleza sababu ya yeye kupigwa(anasema kapigwa bila kosa...inawezekana?.....),halafu anadai kapoteza simu,pia alipoteza fahamu....na andai kwamba kashindwa kufanya shoo......pia yupo kitandani hajiwezi.....uswahili mtupu............anachotaka sijui ni hela ama???????......Hashim bana............aaaaaaaaaaaaargh
he he hee sawa mkuu kumbe upo hapa?aah huyu jamaa anatia maudhi bana yaani hata kumshabikia sasa mtu unajiona ****,anatupoteza mashabiki kwa mambo yake haya ya kishamba.Mkuu mimi sijachoka... Muonye kijana.. Ushamba wa ma muziki makubwa ndani ya gari na kufungua mlango kama inavyoelezwa ni jambo la kujidharirisha. Kupigana ndio upunguani kabisa kwani anaonyesha anatoka kwenye familia ya jinsi gani.
Sitamani kuona vitendo vya jinsi hii bado vinaendelea sehemu nyingi za ma club Tanzania, Yeye analingia hela, Je watoto wa mjini wakimchoma kisu au kumtia kilema cha maisha itakuwa je? Mwenye ukaribu nae amweleze, Ustaarabu ni kujiheshimu.
he he hee sawa mkuu kumbe upo hapa?aah huyu jamaa anatia maudhi bana yaani hata kumshabikia sasa mtu unajiona ****,anatupoteza mashabiki kwa mambo yake haya ya kishamba.
hili lijamaa kibaiolojia tunaliitaga mutation heheehhe limekuwaga refu beyond DNA limiti.