Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Kwa mujibu wa vyanzo tofauti vya habari ni kuwa nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita.

=====
The Pistons have waived Hasheem Thabeet, the team announced Monday.

Thabeet had signed a non-guaranteed deal with Detroit on Sept. 24, after he was waived by the Philadelphia 76ers, who acquired him from the Oklahoma City Thunder in an Aug. 26 trade.

Thabeet—the No. 2 overall pick in the 2009 NBA Draft by the Memphis Grizzlies—was one of four players waived Monday by the Pistons. The team also cut ties with Brian Cook, Lorenzo Brown and Josh Bostic.

• MAHONEY: What will Pistons' new order look like under Stan Van Gundy?

Thabeet played just five minutes in one preseason game this fall. He logged five minutes on Oct. 12 against the Washington Wizards, missing his only field goal attempt.

He appeared in 23 games last season with the Thunder, averaging 1.2 points and 1.7 rebounds in 8.3 minutes per game.

An All-American at Connecticut in 2008-09, Thabeet was drafted by the Grizzlies, who traded him to the Houston Rockets in February 2011. He went from there to Portland in a March 2012 trade and signed with Oklahoma City in the summer of 2012.

Source: http://www.si.com/2014/10/20/detroit-pistons-waive-former-no-2-overall-pick-hasheem-thabeet
 
Kwa mujibu wa vyanzo tofauti vya habari ni kuwa nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita.

Na zile bilioni 2 itakuwaje???
 
dah pole yake sijui kakanyaga mdudu gani...!!&

Kwa kweli NBA ni ligi ngumu sana na kwa kiwango chake ni wazi kuwa muda wake ulikuwa unaelekea kuishi. Mimi nampa pole tu ila asikate tamaa bado anaweza kujaribu ligi hata za Ulaya ingawa kipato chake kitashuka pia.
 
yale yale ya diomond hawa wote si wamepita kwa jokate kale kademu nina wasiwasi nako kana gundu

Hahahaaaaa na dimpoz nae tumsubirie eeehhh???ndio maana kuna wakati kalilalamika hakana bahati ya mapenzi...
 
Kuna kipindi alikuja bongo hapa na kuwachana wale ambao yeye anadai wanasema walimsaidia wakati hawakumsaidia.. Sikuipenda ile maana alikuwa na uwezo wa kukaa kimya bila ya kuwachana live.. Inawezekana through ile amepata mikosi.. Maana siku zote mdomo huumba..
 
Whata a shame, kuwa no 2 kwenye draft halafu kutemwa ni aibu....hamia Russia au China Hasheem
 
Kwa kweli NBA ni ligi ngumu sana na kwa kiwango chake ni wazi kuwa muda wake ulikuwa unaelekea kuishi. Mimi nampa pole tu ila asikate tamaa bado anaweza kujaribu ligi hata za Ulaya ingawa kipato chake kitashuka pia.

ulaya bila skills ndio asithubutu...kule hamna urefu au misuli ni skills kwa kwenda mbele.
 
Kwa kweli NBA ni ligi ngumu sana na kwa kiwango chake ni wazi kuwa muda wake ulikuwa unaelekea kuishi. Mimi nampa pole tu ila asikate tamaa bado anaweza kujaribu ligi hata za Ulaya ingawa kipato chake kitashuka pia.

mi namkubali jamaa toka enzi za makongo tatizo nini thabeet dont let us down
pliiizzzz!!!!!
 
Arudi bongo na kibess chake anachoonea kiswahili kwa lafudhi ya kimarekani
 
Back
Top Bottom