Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Hivi mlitaka Hashimu aishi life style ipi ili mridhike?Mimi naamini UpAnd Down ni kitu cha kawaida katika maisha.Jamaa atabaki kua na sifa ya kipekee kama mtanzania wa kwanza kucheza NBA.

Mkuu,hajawahi kua na NBA career yoyote respectable since day one...

We could give him a pass kama angekua na some basketball in him,but zero....

Tatizo sio maisha mazuri...wewe upewe hela tu halafu on court production ni zero???

Heri mr nice alikua na talent,na alifika pick ndio akaanza kuloose....watu wana get it wrong,Hasheem has never played basketball in the NBA in serious terms...he was a chronic career benchwarmer

Hasheem hajawahi kupanda skills kokote maisha yake ya NBA yote labda useme kuna kupanda na kushuka....jamaa ni career looser,never prove shit on court

Mkuu LebronWade watu wa hivi mi nimeamua kuwa ignore. Kama huyu DIUNATION yaani hakuona thread nzima tukisema kuwa tunaangalia uchezaji wake na tunatoa maoni kwa kile tunachohisi kimechangia kwa kutofanikiwa kwake kimpira lakini pale pale bado mtu anaona tuna-hate!? Mimi naona watu wengi hawaelewi the significance of the draft system and just how big of deal it was kwa jamaa kuwa drafted 2nd overall. Maana wangejua just how big of a fcuking deal it is to be drafted that high and the type of players he was drafted with wangeaza kuappreciate just how big of an embarrassment it is for this guy to be out of the league so soon. Thabeet is now easily in the top 5 biggest draft busts of all time, considering how good the draft class he was drafted in turned out to be, maana I don't think we've seen as good a draft year since the 2003 draft.
 
The Don,u are the genius....people don get it at all

It is not abt his finances,even lousy drug dealers got some...its about his zero basketball abilities
 
Ana mradi wa kuchemsha ma t-shirt na ndugu yake na kutia nembo za kimjini kama "Haters watanikoma", "Hasheem The Dream", nk.

basi sawa ila akumbuke japo kibande kabla hakujakucha,maisha yana sura mbili
 
Mkuu LebronWade watu wa hivi mi nimeamua kuwa ignore. Kama huyu DIUNATION yaani hakuona thread nzima tukisema kuwa tunaangalia uchezaji wake na tunatoa maoni kwa kile tunachohisi kimechangia kwa kutofanikiwa kwake kimpira lakini pale pale bado mtu anaona tuna-hate!? Mimi naona watu wengi hawaelewi the significance of the draft system and just how big of deal it was kwa jamaa kuwa drafted 2nd overall. Maana wangejua just how big of a fcuking deal it is to be drafted that high and the type of players he was drafted with wangeaza kuappreciate just how big of an embarrassment it is for this guy to be out of the league so soon. Thabeet is now easily in the top 5 biggest draft busts of all time, considering how good the draft class he was drafted in turned out to be, maana I don't think we've seen as good a draft year since the 2003 draft.

SHEHE KAMA WAANDIKA KISWAHILI,BASI KIANDIKE MOJA KA MOJA MPAKA MWISHO YAKHE.
:wacko:
 
hasheem bado ana roho ya kiswahili..ya kuridhika ya kutojitambua ana nafasi gani katika analolifanya na watu wa namna hii si yeye peke yake. kuna akina matumla walikuwa wapi na wapo wapi kwa sasa? walishapotea katika ulimwengu wa masumbwi....hashimu thabiti ndo jina lake ule uandishi mwingine ni mbwembwe tu na ujinga wa kutaka hata jina liandikwe kwa kizungu. kuna watu walikuwa wafupi sana kwenye NBA but wali cheza miaka ming kuliko hashimu watu kama earl boykins alikuwa 5'5 urefu but he did smethng ktk game kwa juhudi na mapenz ktk game....
Years: 1998-2012
Team(s): Nets, Cavs, Magic, Clippers, Warriors, Nuggets, Bucks, Bobcats, Wizards, Rockets
Career statistics: 652 G, 8.9 PPG, 1.3 RPG, 3.2 APG While Muggsy Bogues was more of a pass-first point guard, Earl Boykins was a shoot-first dynamo at his position. Initially undrafted, Boykins found a home in Denver after a few years bouncing around the league. Boykins provided a big punch on offense with a unique ability to score despite him being the second shortest player in NBA history. Boykins made plays like this seem routine, which was a spectacle considering his height.

Spud Webb

Listed Height: 5'6"
Years: 1986-98
Team(s): Hawks, Kings, Wolves, Magic
Career Statistics: 814 G, 9.1 PPG, 2.1 RPG, 5.3 APG
Spud Webb was a fourth-round pick who initially got his start in the USBL, and eventually ended up on the Atlanta Hawks where his legend was born. Webb surprised everyone when he entered the 1986 Slam Dunk contest as a rookie and won in an upset. He defeated his teammate Dominique Wilkins who had never seen Webb dunk before. Webb became a legend with that performance, but also proved he was more than just a slam dunk performer averaging 13.6 PPG and 6.5 APG from 1990-95.

so hashimu alikuwa na advantage ktk game kama suala ni urefu but ameenda wapi ?he tried but he didnt do much.
 
Mkuu LebronWade watu wa hivi mi nimeamua kuwa ignore. Kama huyu DIUNATION yaani hakuona thread nzima tukisema kuwa tunaangalia uchezaji wake na tunatoa maoni kwa kile tunachohisi kimechangia kwa kutofanikiwa kwake kimpira lakini pale pale bado mtu anaona tuna-hate!? Mimi naona watu wengi hawaelewi the significance of the draft system and just how big of deal it was kwa jamaa kuwa drafted 2nd overall. Maana wangejua just how big of a fcuking deal it is to be drafted that high and the type of players he was drafted with wangeaza kuappreciate just how big of an embarrassment it is for this guy to be out of the league so soon. Thabeet is now easily in the top 5 biggest draft busts of all time, considering how good the draft class he was drafted in turned out to be, maana I don't think we've seen as good a draft year since the 2003 draft.

Nahisi watanzania wengi bado hawajajuwa nini maana halisi ya hate....wao wanafikiri ukiwa a critic you are automatically a hater. Lugha za wenzetu kwa baadhi yetu ni shida kweli na ndiyo maana hata madj wetu redioni hulazimisha kuongea lugha kwa kubambikia na lafudhi ngumu ili tu aonekane anajuwa.
 
Mtanzania pekee aliyekuwa akicheza basketball katika ligi ya marekani hivi sasa hana timu baada ya kutemwa detroit pistons...kwanza hasheem alitemwa na oklahoma city thunders mwishoni mwa msimu hu lakini akapata bahati ya kuchukuliwa na philladefia 76ers ambayo hata hivyo hawakuridhika na kiwango chake hivyo wakamwacha..ndipo detrot wakaamua wamjaribu lakini hawakuridhika naye baada ya kucheza mechi moja ya majaribio kwa dakika mbili tu..
WHAT NEXT
wataalamu wa mchezo hu wanamshauri labda akacheze ligi ya china (CBA) au nchi nyingine ulaya ambazo sio ngumu kama NBA ama arudi bongo kwenye bongo movie..ama atumie $16 million alizovuna NBA aanzishe biashara
 
acha uvivu jamaa hii habari imeshajadiliwa siku ile aliyotemwa sasa kwanini utafuti uzi ule ukachangia unaanzisha uzi wako?
 
Kuna watu wanajibweteka kwa kupata mafanikio kidogo tu na hii imemkumba Hasheem. Hapa JF alipewa maoni yote ya jinsi gani anatakiwa ajitahidi na kuheshimu kazi maana kwa wenzetu longolongo za kitanzania hawataki. Sasa ajipange upya.
 
ajipange sana
 
Aende Europe au Asia anaweza pata timu akikosa kabisa aende Angola.
 
Huyu atakuwa karogwa na yule mwanamuziki aliimba ninunulie zeze, unajua alimpiga mangumi siku moja pale billicanas sasa kamwendea kwa babu
 
Kweli ng'ombe wa masikini hazai, hata "adungwe" vipi.....hata apindikizwe mbegu za maabara.
 
Mkuu mbona wana kibao walikua hata zoezi hawaendi [refer Iverson 'practice' rant]...pia Shaq alikua mvivu sana wa mazoezi [refer his overweight issues] [he would have been the most dominating centre in history and make Wilt and Kareem look like sissies],

Pia Gary Payton late in his career alikua anakacha sana zoezi kipindi P. Riley ni headcoach...wakorofi na wahuni wote akina Shawn Kemp,Dennis Rodman,nk..ila kwenye court walikua wana deliver kisawasawa....

Sasa,kwenda club,na kufanya uhuni sio excuse....the bottomline is,mwana hana ability za kikapu kwenye damu!
Daa!! Umenipeleka mbali kiduchu umenikumbusha kina Alonzo Mourning wa Charlotte, Tree Rollins, Otis wa Rockets, Miami walikuwepo kina Alan Ogg, Grant Long, Milos Babic.
 
Mmmenye,ndugu yenu jamaa walikosea,walidhani he would be a worthwhile investment..it is proven he is a failed project..kikapu hamna mle hata akilala gym...

Hushangai msela ni 7.4ft wakati mshua [RIP] wake nasikia alikua 5ft wakati mama ni 6.1ft?Ile ile Gingantism Gland ilivuja bahati mbaya ndio maana akapata growth spurt out of proportions...kaka yako Jay-Z anasema "Your whole career is an accident"

Ni kama kuna dogo mmoja Ilboru alikua anasoma balaa,halali mpaka asubuhi on daily basis bado akataga!

Ni shida sana,arudi aungane na kina mr nice,kina juma nature game ishamkataa!!
 
Back
Top Bottom