Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
its a sad news kwa wapenda maendeleo ,hata hivyo amepeperusha bendera yetu vizuri..
Sikubaliani nawe. This is NOT a sad news, jamaa alijiamini mno na maringo yake ya kujifanya ni super star ndiyo yaliyomponza. Wezake (rookies) walikuwa wanakwenda summer camps, yeye anakuja huku Bongo kupigana na kina TID club na kugombania machangu kina Jokate. Jamaa ni useless if you know what I mean, akiingia uwanjani ana hurt his team na ndiyo maana alikuwa hachezi, sasa alipeperusha bendera yetu vizuri kivipi? Kuwa bogus ama? Kurusha ama kushika bendera ya nchi si hoja, mbona hata hapa nyumbani ninayo bendera ya Tanzania inapeperuka?


