Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Mpwa it was so unfortunate hao legends walicheza wakati mzee akiwepo....

Jordan was killing players and frachises' dreams,he was burrying them alive.....

Huku East Miller,Ewing,Marlone,etc hata wajitahidi vipi,he was systematically put them in their places for nearly two decades!

At the finals,ni total annihilation!

by then est conf was a super power....sio siku hizi a 2 to 3 team conference......
 
Me nina Bro wangu alikuwa karibu sana na Hasheem huko Houston..Kijana amekuwa mvivu,kalewa sifa,kalewa 200/=..hana discipline na uuza sura mwingi.hizo ni baadhi ya sababu za kutemwa na Pistons.

Mkuu mbona wana kibao walikua hata zoezi hawaendi [refer Iverson 'practice' rant]...pia Shaq alikua mvivu sana wa mazoezi [refer his overweight issues] [he would have been the most dominating centre in history and make Wilt and Kareem look like sissies],

Pia Gary Payton late in his career alikua anakacha sana zoezi kipindi P. Riley ni headcoach...wakorofi na wahuni wote akina Shawn Kemp,Dennis Rodman,nk..ila kwenye court walikua wana deliver kisawasawa....

Sasa,kwenda club,na kufanya uhuni sio excuse....the bottomline is,mwana hana ability za kikapu kwenye damu!
 
by then est conf was a super power....sio siku hizi a 2 to 3 team conference......

East is watered down now beyond kawaida.....it would never happen a below 0.5 team to make Playoffs berth in 90's....but now 0.5 team makes playoff huku East kama una nawa vile,this will never happen in the West....always West will remain stronger.
 
Hahahah...hii statement imenifanya nicheke mkuu

Maana pamoja na urefu wake ina maana hawezi kuscore wala kudeal na offensive rebounds

Mzee huwezi amini Nate Robinson ana 5ft anachukua rebound mbele ya mwana ana 7ft4"!Maajabu kabisa...

Nyingine nilifeel aibu kabisa ni Jamal Crawford ka'shake then akamkata crossover,mshikaji kidogo aanguke maana aliyumba kama anakata kiuno vile,Im sure kuna ankle ilipata tatizo pale....yaani 7ft4',slower and lazy Center unafikia decision ya kumpiga defense super fast and trickiest Shooting Guard Jamal Crawford? Hapo ndio nikawa na wasiwasi na decision making ability na mwanangu hasheem.
 
Mkuu mbona wana kibao walikua hata zoezi hawaendi [refer Iverson 'practice' rant]...pia Shaq alikua mvivu sana wa mazoezi [refer his overweight issues] [he would have been the most dominating centre in history and make Wilt and Kareem look like sissies],

Pia Gary Payton late in his career alikua anakacha sana zoezi kipindi P. Riley ni headcoach...wakorofi na wahuni wote akina Shawn Kemp,Dennis Rodman,nk..ila kwenye court walikua wana deliver kisawasawa....

Sasa,kwenda club,na kufanya uhuni sio excuse....the bottomline is,mwana hana ability za kikapu kwenye damu!

umenikumbusha steve kerr....anasema kuwaiga akina rodman na jordan ilikuwa ni kujijengea kaburi..maana usiku unaenda nao club na casinos,wao wanagamble na kuparty...kesho asubuhi phil jackson anawaexcempt all starting players..sasa wao reserve ndio shughuli ilikuwa pevu.....ni mwendo wa zoezi kwenda mbele..
 
Mzee huwezi amini Nate Robinson ana 5ft anachukua rebound mbele ya mwana ana 7ft4"!Maajabu kabisa...

hahahah...huyu nate huyu alishawahi dunk kwa shaq oneal...haka kajamaa tatizo hakatulii na timu ila kako very talented..cheki alichofanya juzi hapo...amazing buzzer beater...

huyu jamaa kashawablock,shaq,yao ming na hata lebron cheki hapo..

Nyingine nilifeel aibu kabisa ni Jamal Crawford ka'shake then akamkata crossover,mshikaji kidogo aanguke maana aliyumba kama anakata kiuno vile,Im sure kuna ankle ilipata tatizo pale....yaani 7ft4',slower and lazy Center unafikia decision ya kumpiga defense super fast and trickiest Shooting Guard Jamal Crawford? Hapo ndio nikawa na wasiwasi na decision making ability na mwanangu hasheem.
hahah kwakweli hapo wacha ni mtetee...hivi cross over za jamal crawford(2014 6th man of the year) utaanzia wapi kuziepuka...huyu jamaa kwenye soka naweza mfananisha na denilson wa brazil ....yaani asingefanya fanya kitu...
 
Last edited by a moderator:
Kabadili hadi jina

badala ya hashimu thabiti

anajiita HASHEEM THABEET

HUU NI UTUMWA.

KARIBU NYUMBAN SINZA HASHIMU
 
East is watered down now beyond kawaida.....it would never happen a below 0.5 team to make Playoffs berth in 90's....but now 0.5 team makes playoff huku East kama una nawa vile,this will never happen in the West....always West will remain stronger.

..yaani niliwahurumia SUNS last season PAMOJA NA KUWA ABOVE 0.5 But still never made it....hasa Goran had a very exceptional season...
 
Kabadili hadi jina

badala ya hashimu thabiti

anajiita HASHEEM THABEET

HUU NI UTUMWA.

KARIBU NYUMBAN SINZA HASHIMU

..hilo si tatizo hata olajuwon alibadili toka Akeem mpaka Hakeem
 
hahahah...huyu nate huyu alishawahi dunk kwa shaq oneal...haka kajamaa tatizo hakatulii na timu ila kako very talented..cheki alichofanya juzi hapo...amazing buzzer beater...

huyu jamaa kashawablock,shaq,yao ming na hata lebron cheki hapo..

hahah kwakweli hapo wacha ni mtetee...hivi cross over za jamal crawford(2014 6th man of the year) utaanzia wapi kuziepuka...huyu jamaa kwenye soka naweza mfananisha na denilson wa brazil ....yaani asingefanya fanya kitu...

hahahaaa....mwanao Nate Robinson ana natural talent halafu ana 'little man syndrome ,always anataka ku-prove big men wrong...

Ukiwa big man halafu ni slower and lazy,defending super fast Guards and Shooting Guards is a bad idea!!!!Sasa mwanao Hasheem alipick his poison kwa Jamal Crawford!

Yaani imagine Shaq chasing quick dudes like Derick Rose [pre his injury]?
 
Last edited by a moderator:
..hilo si tatizo hata olajuwon alibadili toka Akeem mpaka Hakeem

You are correct Tyta...kwa entertainers na athletes,ni best decision kibiashara ku-Americanise your name kama intended majaority of your fans are Americans..

Kwa Hasheem ni sawa tu as his audience are majority Americans...ile ni business move na ni correct literally.
 
hahahaaa....mwanao Nate Robinson ana natural talent halafu ana 'little man syndrome ,always anataka ku-prove big men wrong...

Ukiwa big man halafu ni slower and lazy,defending super fast Guards and Shooting Guards is a bad idea!!!!Sasa mwanao Hasheem alipick his poison kwa Jamal Crawford!

Yaani imagine Shaq chasing quick dudes like Derick Rose [pre his injury]?

mimi nilikapa heshima kalipo defend slam dunk tittle yake...nikasema this little comrade is no joke...
sometimes NBA is very complicated to define..
ukisema ukisema big men`s game..utaoneshwa mifano ya kina isaiah thomas,steve nash,stckton.iverson,lillard,chris paul nk all made it strongly despite their physic..
.......at least angekuwa na kitu kimoja very strong to bragg about...labda defensively angekuwa a very good shot blocker kama A.davis halafu hata kama in other areas si kivile is okay...sasa daah..nilikuwa namwona kwenye purukushani za kupigana na kukingiana vifua....
 
You are correct Tyta...kwa entertainers na athletes,ni best decision kibiashara ku-Americanise your name kama intended majaority of your fans are Americans..

Kwa Hasheem ni sawa tu as his audience are majority Americans...ile ni business move na ni correct literally.

hahah sijui na meta world naye alikuwa anafikiria nini...na bado ukorofi uliendelea...
 
..yaani niliwahurumia SUNS last season PAMOJA NA KUWA ABOVE 0.5 But still never made it....hasa Goran had a very exceptional season...

West hukatizi kibwege kwenda playoffs...with Suns it was a sad story, Bledsoe (PG) na Goran(C) walipiga jihad ila ndio ivo Mavericks wakalamba 8th seed na 49wins zao
 
hahah sijui na meta world naye alikuwa anafikiria nini...na bado ukorofi uliendelea...

Hahaaa..MWP mara ya kwanza namsoma kua hafai ni kipindi akiwa Pacers,ikapigwa ile brawl ya Malice in Palace na Denver...Jamaa mwehu kweli,jamaa kaacha kucheza kakimbilia kwenye stands kaanza kutoa dozi kwa fans non-stop

Hee,ghafla bin vuu nikamuona kwenye video ya Nas na Premier ya Nas Is Like,nikajua jamaa ni straight up gangstar way kitambo....

Ila the last time I heard about him alikia New York Knicks,naona kaacha now ila hajatangaza rasmi...
 
mimi nilikapa heshima kalipo defend slam dunk tittle yake...nikasema this little comrade is no joke...
sometimes NBA is very complicated to define..
ukisema ukisema big men`s game..utaoneshwa mifano ya kina isaiah thomas,steve nash,stckton.iverson,lillard,chris paul nk all made it strongly despite their physic..
.......at least angekuwa na kitu kimoja very strong to bragg about...labda defensively angekuwa a very good shot blocker kama A.davis halafu hata kama in other areas si kivile is okay...sasa daah..nilikuwa namwona kwenye purukushani za kupigana na kukingiana vifua....

Infact it is big man's game ila trend in shift..rules za kufavor smaller guys zinazidi kuingia kila siku....centres wa sasa hivi will be eaten alive in the 90's....Joachim Noah ni Defensive Player of the year mtu ana average 10 rebounds?!!!In the 90's DPOY likua ana average 20 rebounds!

Mostly,the little guys are running the point (Point Guards)[floor generals] and they are supposed to be very good above average!

The best centre today Dwight Howard will be a back up centre in a team Shaquille O'neal or Hakeem or Ewing is in.

Hasheem was suppose to play only defence,but it was a toll order for the brother!

Today
 
West hukatizi kibwege kwenda playoffs...with Suns it was a sad story, Bledsoe (PG) na Goran(C) walipiga jihad ila ndio ivo Mavericks wakalamba 8th seed na 49wins zao

...probably this time tuone watafika wapi..
 
Back
Top Bottom